TMF YAFADHILI WANAHABARI TISA KWENDA ACCRA NCHINI GHANA KUPATA MAFUNZO
 Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Ernest Sungura.  Mkufunzi wa Masuala ya Biashara za Habari kutoka Accra Ghana,  Nuamah Eshun (katikati), akizungumza katika hafla ya kuwaaga wanahabari hao Dar es Salaam leo asubuhi, kabla ya kuondoka  kwenda nchini humo kwa mafunzo hayo ya siku 10. Eshun atakuwa ni mmoja wa wakufunzi wa mafunzo hayo. Kulia ni… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTMF YAFADHILI WANAHABARI TISA KWENDA ACCRA NCHINI GHANA KUPATA MAFUNZOâ€
10 years ago
MichuziTMF yatoa mafunzo kwa wanahabari wa Sauti ya mnyonge
10 years ago
GPL
FASTJET YAFADHILI ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Moto waua 96 Accra Ghana
10 years ago
Vijimambo20 Apr
TMF, UN Yatoa Vyeti kwa Wanahabari Waandishi wa Dawa za Kulevya


10 years ago
Vijimambo20 Apr
TMF, UN YATOA VYETI KWA WANAHABARI WAANDISHI WA HABARI ZA DAWA ZA KULEVYA


11 years ago
Michuzi04 Jul
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
TMF yaendesha mafunzo ya ‘New Media na Data Journalism’
Na modewji blog
MFUKO wa Vyombo vya habari nchini Tanzania (TMF) unaendesha mafunzo ya siku tano kwa waandishi wa habari kuhusu ‘New media and data journalism’ kuanzia Machi 17 -21, mwaka huu, jijini Dar es Salaam.
Mafunzo hayo yanahusisha washiriki 10 kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini ambavyo ni redio, magazeti, taasisi za elimu ya juu zinazofundisha masula ya habari na mawasiliano ya umma na mitandao ya kijamii.
Afisa Mafunzo wa TMF Bi. Raziah Mwawanga akiongea wakati wa mafunzo...
10 years ago
GPLNACTE YATOA TARATIBU ZA UENDESHAJI WA MAFUNZO YA UFUNDI NCHINI