Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moto waua 96 Accra Ghana

Mlipuko wa moto katika kituo cha mafuta, Accra Ghana umeua watu 96 na uchunguzi zaidi unaendelea.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TMF YAFADHILI WANAHABARI TISA KWENDA ACCRA NCHINI GHANA KUPATA MAFUNZO‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Ernest Sungura.Mkufunzi wa Masuala ya Biashara za Habari kutoka Accra Ghana, Nuamah Eshun (katikati), akizungumza katika hafla ya kuwaaga wanahabari hao Dar es Salaam leo asubuhi, kabla ya kuondoka kwenda nchini humo kwa mafunzo hayo ya siku 10. Eshun atakuwa ni mmoja wa wakufunzi wa mafunzo hayo. Kulia ni Ofisa Mwandamizi wa Misaada wa TMF, Alex Kanyambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF),...

 

10 years ago

GPL

TMF YAFADHILI WANAHABARI TISA KWENDA ACCRA NCHINI GHANA KUPATA MAFUNZO‏

 Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Ernest Sungura.  Mkufunzi wa Masuala ya Biashara za Habari kutoka Accra Ghana,  Nuamah Eshun (katikati), akizungumza katika hafla ya kuwaaga wanahabari hao Dar es Salaam leo asubuhi, kabla ya kuondoka  kwenda nchini humo kwa mafunzo hayo ya siku 10. Eshun atakuwa ni mmoja wa wakufunzi wa mafunzo hayo. Kulia ni… ...

 

10 years ago

Habarileo

Moto waua abiria 18 wa basi Morogoro

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonald PauloWATU 18 wamekufa papo hapo kwa kuteketea kwa moto na wengine 11 wamejeruhiwa vibaya kutokana na basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso, katika kijiji cha Msimba tarafa ya Mikumi, barabara kuu ya Morogoro – Mbeya.

 

11 years ago

BBCSwahili

Moto waua wagonjwa 21 hospitalini Korea

Moto Uliozuka Hospitalini umewauwa watu 21 Nchini Korea Kusini. Wagonjwa wapatao 20 pamoja muuguzi mmoja wameuawa.

 

10 years ago

Habarileo

Moto waua abiria 18 wa basi Moro

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonald PauloWATU 18 wamekufa papo hapo kwa kuteketea kwa moto na wengine 11 wamejeruhiwa vibaya kutokana na basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso, katika kijiji cha Msimba tarafa ya Mikumi, barabara kuu ya Morogoro – Mbeya.

 

10 years ago

BBC

Accra in shock and mourning

Mourning and questions after petrol station inferno

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtandao Mtakatifu kuzinduliwa Accra

Kundi la RA ambalo ni la kikristo nchini Ghana linatarajia kuzindua kitu kinachoitwa mtandao wa kijamii mtakatifu

 

10 years ago

BBC

VIDEO: Accra in mourning after deadly fire

Ghana is marking its third and final day of national mourning for the people killed last week by flooding and a fire at a petrol station.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani