Prezzo anatarajia kupata mtoto wa pili
NAIROBI, Kenya
NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘CMB Prezzo’ anatarajia mtoto wa kiume hivi karibuni.
Prezzo amempa jina la Gabriel mtoto huyo kabla hajazaliwa. Msanii huyo mpaka sasa hajaoa, lakini ana mtoto mmoja na sasa anatarajia kupata mtoto wa pili.
“Natarajia mtoto wa kiume siku yoyote, ni furaha kubwa kupata mtoto wa kiume kwa kuwa naamini ataiga mambo yangu mengi, ikiwemo aina ya mavazi ninayopenda kuvaa.
“Nimeamua kumpa jina mapema kabla ya kuzaliwa kwa kuwa najua...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Sep
Kim Kardashian anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili siku ya Christmas
10 years ago
Bongo Movies20 Jan
Wakati Wengine Wanakula Ujana Flora Mvungi Anatarajia Kujifungua Mtoto wa Pili Hivi Karibuni!
Mwigizaji wa filamu Flora Mvungi, ambae ni mke wa mwanamziki H.Baba anatarajia kujifungua mtoto wa pili hivi karibuni ikiwa ni moja ya mafanikio ya ndoa yao kwa mwaka jana.
H baba amabe ndio mumeo amethibitisha kuwa mke wake Flora Mvungi ni mjamzito na hivyo wanatarajia kupata mtoto wa pili.
Akizungumza na 255 ya XXL jana, H. Baba amesema miongoni mwa mafanikio aliyopata mwaka jana ni pamoja na kumpa ujauzito mwingine mke wake.
“Faida ya mwaka jana ni mwana mama Flora Mvungi kujaa...
9 years ago
Bongo501 Oct
Omarion na girlfriend wake wanatarajia kupata mtoto wa pili
10 years ago
Bongo519 Jan
H.Baba na mke wake Flora Mvungi wanatarajia kupata mtoto wa pili
10 years ago
Bongo529 Aug
Shakira na boyfriend wake Gerard Piqué wanatarajia kupata mtoto wa pili
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wJiihyzjAcU/VZ0B1dI5y8I/AAAAAAAHnuI/XbREQWwYHlU/s72-c/unnamedN.jpg)
BENKI M YAZIDI KUPATA MAFANIKIO, RIPOTI YA FEDHA YA ROBO YA PILI YA MWAKA YATOLEWA
Benki hiyo ambayo hivi karibuni ilijipatia tuzo ya Benki bora ya biashara Tanzania kwa mwaka 2015 iliyotolewa na International Banker nchini Uingereza, imepata faida kufikia Tshs. 11.51Billioni kabla ya kodi katika miezi sita ya mwanzo wa mwaka...
10 years ago
VijimamboSTARS YAPOTEZA MCHEZO WA PILI BAADA YA KUPATA KICHAPO CHA BAO 2-0 KUTOKA KWA MADAGASCAR
Katika mchezo huo wa jana, Taifa...
9 years ago
Mtanzania05 Jan
T.I na Tiny wanatarajia mtoto wa pili
NEW YORK, MAREKANI
MKALI wa hip hop nchini Marekani T.I na mke wake, Tiny wanatarajia kupata mtoto wao wa pili hivi karibuni
Endapo watafanikiwa kupata mtoto huyo basi T.I atakuwa na jumla ya watoto sita, lakini kwa Tiny atakuwa na watoto watatu.
“Ni furaha kubwa kuona familia yetu inaongezeka, tunatarajia kupata mtoto hivi karibuni, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu,” alisema Tiny.
T.I ni miongoni mwa wasanii ambao wana watoto wengi nchini Marekani kama vile DMX ambaye ana watoto 12.
Kupitia...