Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakati Wengine Wanakula Ujana Flora Mvungi Anatarajia Kujifungua Mtoto wa Pili Hivi Karibuni!

Mwigizaji wa filamu  Flora Mvungi, ambae ni mke wa mwanamziki  H.Baba anatarajia kujifungua mtoto wa pili hivi karibuni ikiwa ni moja ya mafanikio ya ndoa  yao kwa mwaka jana.

H baba amabe ndio mumeo  amethibitisha kuwa mke wake Flora Mvungi ni mjamzito na hivyo wanatarajia kupata mtoto wa pili.

Akizungumza na 255 ya XXL jana, H. Baba amesema miongoni mwa mafanikio aliyopata mwaka jana ni pamoja na kumpa ujauzito mwingine mke wake.

“Faida ya mwaka jana ni mwana mama Flora Mvungi kujaa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kim Kardashian anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili siku ya Christmas

Rapper Kanye West na mkewe Kim Kardashian ambaye ni mjamzito wanatarajia kumpokea mdogo wake na North siku ya Christmas, ambapo Kim ndio anatarajia kujifungua. Kwa mujibu wa TMZ, Kim K anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili Dec. 25. Vyanzo vya karibu vimedia kuwa couple hiyo tayari ime ‘book’ Deluxe Maternity Suite kwenye hospitali ya Cedars-Sinai […]

 

10 years ago

Bongo5

H.Baba na mke wake Flora Mvungi wanatarajia kupata mtoto wa pili

H.Baba amethibitisha kuwa mke wake Flora Mvungi ni mjamzito na hivyo wanatarajia kupata mtoto wa pili. Akizungumza na 255 ya XXL leo, H. Baba amesema miongoni mwa mafanikio aliyopata mwaka jana ni pamoja na kumpa ujauzito mwingine mke wake. “Faida ya mwaka jana ni mwana mama Flora Mvungi kujaa tena,” alisema. “Nikwambie kitu kimoja mimba […]

 

9 years ago

Mtanzania

Prezzo anatarajia kupata mtoto wa pili

PREZZO (1)NAIROBI, Kenya

NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘CMB Prezzo’ anatarajia mtoto wa kiume hivi karibuni.

Prezzo amempa jina la Gabriel mtoto huyo kabla hajazaliwa. Msanii huyo mpaka sasa hajaoa, lakini ana mtoto mmoja na sasa anatarajia kupata mtoto wa pili.

“Natarajia mtoto wa kiume siku yoyote, ni furaha kubwa kupata mtoto wa kiume kwa kuwa naamini ataiga mambo yangu mengi, ikiwemo aina ya mavazi ninayopenda kuvaa.

“Nimeamua kumpa jina mapema kabla ya kuzaliwa kwa kuwa najua...

 

10 years ago

GPL

FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA

ELIMU
Dada nakukubali sana, vipi kuhusu kiwango chako cha elimu? Fura, Hedaru, 0714403227
FLORA: Nina elimu ya kidato cha sita na Diploma ya Uandishi wa habari. Msanii wa Bongo Muvi na muziki Bongo, Flora Mvungi akiwa na mwanaye Tanzanite. NDOA NA UIGIZAJI
Hivi dada Flora unawezaje kuitumikia ndoa yako kikamilifu huku ukijishughulisha na uigizaji? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
FLORA: Ni kujipanga tu, yote yanawezekana....

 

10 years ago

CloudsFM

Baada ya Frolah Mvungi kujifungua,ajipanga kuachia filamu mbili

Baada ya kujifungua mtoto wa kiume aitwaye Afrika,mwigizaji wa filamu za Kibongo,Florah Mvungi amejipanga kuachia filamu mbili kwa mpigo.

Mume wa msanii huyo,msanii H.Baba akizungumza kwa niaba ya mkewe alisema kuwa kwa sasa yeye na mkewe ni muda wao wa kufanya kazi kwani wana mpango wa kuachia filamu mbili mpya kwa mpigo ambazo hajazitaja jina.

‘Unajua tulipanga tuzae watoto wawili tunashukuru mipango yetu imetimia sasa ni muda wa kufanya kazi,nitaachia ngoma yangu mpya hivi karibuni na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Flora Mvungi: Sijabahatisha

NYOTA wa filamu za Kibongo ‘Bongo Movie’ aliyegeukia muziki wa Bongo Fleva, Flora Mvungi, amesema hajaingia katika tasnia ya muziki huo kwa kubahatisha, kwani alianza kuimba kabla watu hawajamfahamu kupitia...

 

10 years ago

GPL

FLORA MVUNGI ADAIWA KUCHEPUKA!

Mrembo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’  MREMBO kunako filamu Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’ amewashangaa wanaomsema pembeni kuwa kawahi kuchepuka na kukanusha vikali kuwa hakuwahi kufanya hivyo tangu afunge ndoa na mumewe, Khamisi Ramadhani ’H-Baba.’ Akifunguka ya moyoni kwa paparazi wetu,Flora alisema tangu wakutane na H-Baba kipindi cha uchumba wao hajawahi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani