Omarion na girlfriend wake wanatarajia kupata mtoto wa pili
Mwimbaji wa R&B wa Marekani ambaye ni baba wa mtoto mmoja, Omarion na girlfriend wake wa muda mrefu aitwaye Apryl Jones wanajiandaa kumpokea mtoto wao wa pili. Mwimbaji huyo wa ‘Post to Be’ ametumia akaunti zake za mitandao ya kijamii kushare na mashabiki wake kuwa girlfriend wake ni mjamzito na anatarajia kujifungua mtoto wa kike. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo529 Aug
Shakira na boyfriend wake Gerard Piqué wanatarajia kupata mtoto wa pili
10 years ago
Bongo519 Jan
H.Baba na mke wake Flora Mvungi wanatarajia kupata mtoto wa pili
10 years ago
Bongo510 Dec
Hamisa Mobeto na mchumba wake Dj Majey wa E-FM wanatarajia kupata mtoto
9 years ago
Mtanzania05 Jan
T.I na Tiny wanatarajia mtoto wa pili
NEW YORK, MAREKANI
MKALI wa hip hop nchini Marekani T.I na mke wake, Tiny wanatarajia kupata mtoto wao wa pili hivi karibuni
Endapo watafanikiwa kupata mtoto huyo basi T.I atakuwa na jumla ya watoto sita, lakini kwa Tiny atakuwa na watoto watatu.
“Ni furaha kubwa kuona familia yetu inaongezeka, tunatarajia kupata mtoto hivi karibuni, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu,” alisema Tiny.
T.I ni miongoni mwa wasanii ambao wana watoto wengi nchini Marekani kama vile DMX ambaye ana watoto 12.
Kupitia...
9 years ago
Bongo528 Dec
T.I na mkewe Tiny wanatarajia kupata mtoto wao wa tatu
![Ti and Tiny](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Ti-and-Tiny-300x194.jpg)
Rapper T.I wa Marekani na mkewe Tameka “Tiny” Cottle-Harris wanatarajia kupata mtoto mwingine atayefikisha idadi ya jumla ya watoto saba wa familia yao.
Taarifa hizo zilitolewa na Tiny December 25 kupitia Instagram.
T.I na Tiny tayari wana watoto wawili, King na Major waliowapata pamoja, huku T.I akiwa ni baba wa watoto wengine watatu, Messiah, Domani na Deyjah aliowapata kwenye mahusiano yake yaliyopita, na Tiny naye ni mama wa mtoto mmoja wa kike Zonnique aliyempata kwenye uhusiano wake...
9 years ago
Bongo513 Oct
John Legend na mkewe wanatarajia kupata mtoto wa kwanza
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-rXyjjNUhOA4/VRSX54-S7ZI/AAAAAAAAZ5g/tQaChHUOd2Q/s72-c/diamond567.jpg)
HII NI ISHARA KWAMBA DIAMOND NA ZARINAH WANATARAJIA KUPATA MTOTO WA KIKE
![](http://3.bp.blogspot.com/-rXyjjNUhOA4/VRSX54-S7ZI/AAAAAAAAZ5g/tQaChHUOd2Q/s640/diamond567.jpg)
Remember that you'll never have to fight for a spot in the life of someone who truly loves, respects, or cares about you.....it shld be mutual!!!!"-ZARI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ta8R_OMfGlw/VRXN4p7Kc3I/AAAAAAADdwU/SxoWS3JDofQ/s1600/zari-mtoto.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-O2WzZ8lKIcg/VRXN43s5TmI/AAAAAAADdwY/WsNvAbinI0E/s1600/Zari-princess.jpg)
9 years ago
Mtanzania02 Sep
Prezzo anatarajia kupata mtoto wa pili
NAIROBI, Kenya
NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘CMB Prezzo’ anatarajia mtoto wa kiume hivi karibuni.
Prezzo amempa jina la Gabriel mtoto huyo kabla hajazaliwa. Msanii huyo mpaka sasa hajaoa, lakini ana mtoto mmoja na sasa anatarajia kupata mtoto wa pili.
“Natarajia mtoto wa kiume siku yoyote, ni furaha kubwa kupata mtoto wa kiume kwa kuwa naamini ataiga mambo yangu mengi, ikiwemo aina ya mavazi ninayopenda kuvaa.
“Nimeamua kumpa jina mapema kabla ya kuzaliwa kwa kuwa najua...