Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Belle 9 auzungumzia wimbo wake mpya Vitamin Music

Belle 9 ameachia wimbo wake mpya ‘Vitamin Music’ aliomshirikisha Joh Makini. Akizungumza na XXL ya Clouds FM jana, Belle alisema wimbo huo ni sehemu ya project yake mpya ya album yenye jina hilo. “Ngoma tulifanya kwa Mona Gangster, Classic Sounds lakini mimi sikumtafuta Joh na yeye hakunitafuta, ni ushikaji tu wa muda mrefu, akija studio […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: Belle 9 ft. Joh Makini — Vitamin Music

Wasanii wengi wa Bongo wameendelea kuachia video zao mpya, na safari hii ni zamu ya Belle 9 ambaye ametoa video ya wimbo wake aliomshirikisha Joh Makini ‘Vitamin Music’. Video hii imeongozwa director ambaye ni miongoni mwa madirector wapya wanaokuja juu, Khalfani.

 

9 years ago

Mtanzania

Mo Music amtamani KCEE katika wimbo wake mpya

Mo-musicNA AGNES MHAGAMA

BAADA ya wasanii mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva kufanya vizuri kimataifa kupitia ushirikiano na wasanii wa kimataifa, msanii anayefanya vizuri katika wa muziki huo, Moshi Katemi ‘Mo Music’ naye ana matarajio ya kushirikiana na msanii kutoka Nigeria, KCEE.

Mo Music, anayetamba na wimbo wa ‘Basi Nenda’ na ‘Ntazoea’, alisema ameshafanya mawasiliano na msanii huyo na mipango ikienda kama walivyopanga watakamilisha wimbo huo ndani ya mwaka huu.

“Nimemchagua KCEE kwa sababu...

 

10 years ago

Bongo5

Professor J auzungumzia wimbo ‘Kwaajili Yako’ f/ Chameleone unaotoka J5 hii

Msanii mkongwe wa Hip Hop nchini, Joseph Haule aka Professor Jay Jumatano hii anaachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Jose Chameleone. Proffesor amesema wimbo huo unazungumzia mapenzi pamoja na kutoa shukrani kwa mashabiki wanao-support muziki wao. “Tumeanza kushirikiana kuanzia kwenye idea mpaka unarekodiwa kwenye studio yangu ya Mwanalizombe,” ameiambia Bongo5. “Idea kwenye hii Kwaajili Yako imefika […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Ne-Yo aachia wimbo mpya ‘Make It Easy’

Muimbaji wa R&B kutoka Marekani, Shaffer Chimere Smith maarufu kwa jina la Ne-Yo, ametoa wimbo mwingine kutoka kwenye album yake ijayo “Non-Fiction”. Wimbo mpya uliotoka Jan.7 unaitwa “Make It Easy”. “Non-Fiction” ni album ya sita ya muimbaji huyo ambayo mwanzo ilipangwa kutoka 2014, lakini sasa inatarajiwa kutoka Jan.27.

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West asahau mashairi ya wimbo wake kwenye birthday ya mama mkwe wake na kuanza kuimba wimbo wa adui yake 50 Cent

222

Kanye West anadaiwa alijikuta akisahau mashairi ya wimbo wake mwenyewe wakati alipoombwa kutumbuiza kwenye birthday ya mama mkwe wake, Kris Jenner aliyetimiza miaka 60 wiki iliyopita.

rs_634x1024-130820163003-634.kris.cm.82013

Rapper huyo mwenye umri wa miaka 38 alipewa mic na muimbaji Charlie Wilson, aliyekuwa akiimba wimbo wake kabla ya kuanza kuimba wimbo wa Kanye, ‘See Me Now’ – aliomshirikisha Beyonce na – lakini alikiri kuwa hakumbuki mashairi ya wimbo huo wa mwaka 2010 na haraka akaanza kuimba wimbo wa adui yake.

Chanzo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani