Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STEVE NYERERE ACHANGISHA PESA ZA MAZISHI YA AISHA MADINDA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bongo Unity, Steven Mengere 'Steve Nyerere' (kulia) na Lwiza Mbutu (katikati) wakihesabu michango waliyofikisha kwa ajili ya kupata maturubai wakiwa katika hospitali ya Mwanayamara jijini Dar es Salaam. Mtoto wa Marehemu Aisha, Naomi akiwa katika majonzi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Polisi wazuia mazishi ya Aisha Madinda hadi kesho

Jeshi la polisi limezuia mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa Twanga Pepeta na Extra Bongo, Aisha Madinda hadi hapo mwili wake utakapofanyiwa uchunguzi kutokana na utata wa kifo chake.

 

10 years ago

CloudsFM

KIFO CHA AISHA MADINDA KINA UTATA,MAZISHI YAAHIRISHWA KUPISHA UCHUNGUZI

Mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa bendi za Twanga Pepeta na Extra Bongo,Aisha Madinda yameahirishwa hadi majibu ya uchunguzi yatakapofanyika na kutolewa na hospitali ya taifa ya Muhimbili, ilidaiwa Aisha Madinda aliyefariki jana mchana wakati akikimbizwa hospitalini, na kwa mujibu wa hospitali ya Mwananyamala mpaka anafikishwa hospitali na waliupima mwili na kugundua alikwisha fariki dunia. Clouds FM imezungumza na mtoto wa kwanza wa marehem aitwaye, Feisal Madinda alisema kuwa mazishi...

 

10 years ago

Michuzi

Just in: polisi wachunguza sababu ya kifo cha aisha madinda, mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Kigamboni

Jeshi la Polisi leo limezuia mazishi ya aliyekuwa mnenguaji nguli wa bendi Aisha Mohammed Mbegu (Aisha Madinda) ili kujua mimi kilichosababisha kifo chake. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya The African Stars Entertainment (ASET) Bi. Asha Baraka amethibitisha hilo na kusema  kwamba mwili ndiyo ulikua unapelekwa Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi. “Mjomba wa marehemu amejaribu kuwaomba sana Polisi waache kuuchunguza mwili wa Aisha kwani wamemshukuru Mungu kwa yote lakini wamekataa hivyo hadi...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AANIKA SABABU ZA KUJITOLEA MSIBA WA AISHA

Stori: Hamida Hassan
STAA wa filamu za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema anakumbuka fadhila za marehemu Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ ndiyo maana amejitoa kwa hali na mali katika msiba wake kwani anawaonea huruma watoto wake ambao aliishi nao kama kaka yao enzi za marehemu alipokuwa na uhusiano na mdau wa Muziki wa Dansi Bongo, Fikiri Madinda. Staa wa filamu za Kibongo, Steven...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Mazishi ya Baba wa Msanii Steve Nyerere

Hizi ni baadhi ya picha za mazishi ya baba yake staa wa Bongo Movies, Steve Nyerere yaliyofanyika leo makaburi ya Kinondoni. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihibidiwe Amein.


Picha kwa hisani ya Le Mutuz on Instagram
 

 

9 years ago

Bongo5

Steve Nyerere: Nilimwambia Magufuli kuwasaidia wasanii wa filamu ni kupoteza pesa

11351837_431015323755764_1594616645_n

Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Bongo Movie Club, Steve Nyerere amesema aliulizwa kwa zaidi ya mara sita na Rais Dk John Magufuli kuhusu nsaada wanaouhitaji, lakini amedai alishindwa kumjibu kutokana na wasanii wengi kutojitambua.

11351837_431015323755764_1594616645_n

Akizungumza katika kipindi cha Take One cha Clouds TV, Steve alisema alimwambia Magufuli asipoteze pesa ya serikali kuwasaidia wasanii wa filamu.

“Sikatai,” alisema Steve. “Nilishamwambia mheshimiwa rais, utapoteza pesa zako, nilisha mwambia mstaafu na huyu mpya...

 

10 years ago

Dewji Blog

DC Makonda aongoza mamia mazishi ya Baba wa msanii Steve Nyerere

Marehemu Francis Festus Mengele, enzi za uhai wake.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Francis Festus Mengele

Shangazi wa Msanii, Steve Nyerere, Grace Mengele (katikati), akiwa na wadogo zake Steve Nyerere wakati akiwasili makaburi ya Kinondoni kwa mazishi ya mpendwa wao, Francis Mengele.

Watoto wa marehemu na dada zake wakiwa kwenye ibada ya maziko makaburi ya Kinondoni.

Ibada ya maziko ikiendelea.

Hali ilivyokuwa...

 

10 years ago

GPL

PAUL MAKONDA AONGOZA MAMIA MAZISHI YA BABA WA STEVE NYERERE‏

 Marehemu Francis Festus Mengele, enzi za uhai wake.  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Francis Festus Mengele.  Shangazi wa Msanii, Steve Nyerere, Grace Mengele (katikati), akiwa na wadogo zake Steve Nyerere wakati akiwasili makaburi ya Kinondoni kwa mazishi ya mpendwa wao, Francis Mengele.… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKONDA AONGOZA MAMIA MAZISHI YA BABA YAKE MSANII STEVE NYERERE

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Francis Festus Mengele, Baba wa Msanii, Steven "Nyerere" Mengele (kulia) . Shangazi wa Msanii, Steve Nyerere, Grace Mengele (katikati), akiwa na wadogo zake Steve Nyerere wakati akiwasili makaburi ya Kinondoni kwa mazishi ya mpendwa wao, Francis Mengele. Watoto wa marehemu na dada zake wakiwa kwenye ibada ya maziko makaburi ya Kinondoni. Ibada ya maziko ikiendelea.

BOFYA HAPA KUONA PICHA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani