Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, UWANJA WA UHURU DAR LEO

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Davis MwamunyangeMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake wa Serikali, wakisimama kutoa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TASWIRA YA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MUUNGANO UWANJA WA UHURU JIJINI DAR

Baadhi ya vikosi vya watumbuizaji katika sherehe hiyo vikionekana kupanda gari kwa ajili ya kuondoka uwanjani hapo Wanafunzi wa shule mbalimbali za jijini Dar es Salaam wakitawanyika kutoka Uwanja wa Uhuru.…

 

11 years ago

GPL

RAIS JK AWASILI UWANJA WA UHURU KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA

Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika hivi punde. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa sasa amewasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika uliopatikana Desemba 9, 1961.

 

10 years ago

Vijimambo

MH SAMIA SULUHU AZINDUA MAONESHO YA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

bl4 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, Mh. Samia Saluhu (katikati), akizindua maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni, jijini Dar es Salaam leo. (Picha na OMR)bl5Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, Mh. Samia Suluhu, akihutubia katika Uzinduzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika ukukmbi wa Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni,...

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE YA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR YAFANA MJINI ROMA

SHEREHE YA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR YAFANA MJINI ROMA Watanzania nchini Italia, Jumamosi tarehe 26 Aprili 2014, walikutana mjini Roma kwenye ukumbi wa Ubalozi uliopo Viale Cortina d’Ampezzo 185, kusherehekea sikukuu ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Mgeni rasmi alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia Mhe. Dkt. James A. Msekela. Sherehe ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Jumuiya za Watanzania Italia, Maofisa wa Ubalozi na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maandalizi ya sherehe za miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakamilika, wananchi waombwa kujitokeza kwa wingi

Picha DC TMK

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yatapambwa na Kauli Mbiu isemayo Miaka 51 ya Muungano, Tudumishe Amani Na Umoja, Ipigie Kura ya Ndiyo Katiba inayopendekezwa na Kushiriki Uchaguzi Mkuu.

Picha na 1

Askari watakaoshiriki kwenye Gwaride la heshima litakalohusisha vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wakiwa wamebeba bendera za Majeshi ya Tanzania...

 

10 years ago

Habarileo

Leo ni miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Waasisi wa Muungano, Mwalimu Julius Nyerere (kulia) na Abeid Aman Karume wakisaini hati za Muungano mwaka 1964.RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, leo atawaongoza watanzania katika kuadhimisha miaka 51 ya kuzaliwa kwa Tanzania baada ya kuunganisha nchi mbili huru za Tanganyika na Zanzibar.

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA SHEREHE ZA MEI MOSI UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mkurugenzi wa NSSF, Dkt. Mohammed Dau (Wapili kulia), na mkurugenzi mkuu wa PPF, William Erio, na mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya udhibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii, (SSRA), Irine Isaka (Kushoto), wakifuatilia maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.  Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 5, mfanyakazi bora wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Herman Kachima, wakati wan kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani