Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HOTUBA YA MHESHIMIWA BERNARD MEMBE KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA KANISA ANGLIKANA, DAYOSISI YA DAR ES SALAAM LEO

 MHESHIMIWA BERNARD MEMBE, WAZIRI WAMAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGA maadhimisho ya miaka 20 ya Dayosisi ya Pwani ya Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT)

 Waziri  Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa  akisalimiana na baadhi ya viongozi wa kanisa la Africa Inland Church  wakati alipohitimisha maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa kanisa hilo katika Dayosisi ya Pwani yaliyofanyika kwenye ukumbi wa PTA katika uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Nyerere Kilwa Road jijini Dar es salaam Novemba 29, 2015.

 Waziri  Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza  wakati alipohitimisha maadhimisho ya miaka 20 ya Kanisa la Africa Inland Church Dayosi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Anglikana Dar kesho kuzindua maadhimisho ya miaka 50

KANISA la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Dar es Salaam, kesho linatarajia kuzindua maadhimisho ya miaka 50 ya Dayosisi hiyo ya utoaji huduma za kiroho, kiuchumi na kijamii yatakayokwenda sambamba na shughuli mbalimbali yakiwemo makongamano yatakayohusisha makundi mbalimbali.

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Membe akiwa katika uzinduzi wa miaka 50 ya Anglikana dayosis ya Dar es salaa

Maadhimisho ya Miaka 50 ya Anglikana Dayosis ya Dar es salaam iliyofanyika katika Kanisa la Mt. Albano, jijini Dar es salaam. Mhe. Bernard Membe akifuatilia Ibada ya miaka 50 ya Angligana Dayosis ya Dar es Salam siku ya Jumapili Januari 4, 2015 

 

10 years ago

Habarileo

Membe apongeza Kanisa Anglikana

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akibonyeza kengele kuashiria uzinduzi wa Sherehe ya Miaka 50 ya Kanisa Anglikana Tanzania Dayosisi ya Dar es Salaam, iliyofanyika kwenye Kanisa la Mt. Albano jijini jana. Kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam, Dk Valentino Mokiwa. (Picha na Fadhili Akida).WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amelipongeza Kanisa la Anglikana nchini kwa kusimama kidete bila hofu kupinga ndoa za jinsia moja, hata pale makanisa mengine ya Anglikana duniani, yalipoamua kufanya hivyo.

 

10 years ago

Michuzi

MKOA WA DAR ES SALAAM WAMDHAMINI BERNARD MEMBE

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akionyesha fomu zilizojazwa na wanaCCM wa Mkoa wa Dar es Salaam zaidi ya 1,500 kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athuman Shesha (kulia) katika Ukumbi wa Vijana Kinondoni Juni 25.2015. Kushoto ni mkewe Mama Dorcas Membe.  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE APONGEZA KANISA LA ANGLIKANA KUPINGA USHOGA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe, amelipongeza Kanisa la Anglikana Tanzania kwa kusimama kidete kupinga ndoa za jinsia moja, hata pale makanisa mengine ya Anglikana duniani yalipounga mkono suala hilo.Akizindua sherehe za Miaka Hamsini tangu kuanzishwa kwa Dayosisi ya Dar es Salaam ya Kanisa hilo jana, Mhe. Membe alisema msimamo huo wa Kanisa na Watanzania uliipa serikali nguvu kukataa shinikizom kutoka nchi za Magharibi kwamba iidhinishe ushoga hapa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Moto wawaka ndani ya Lindi wakati Mheshimiwa Bernard Membe akitangaza nia ya kugombea urais 2015

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati alipotangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. (Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog).

Wananchi wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard...

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa yakumba Kanisa la Anglikana Dar

Kanisa la Anglikana la Mtaa wa Kisanga B, Mivumoni Kinondoni, limekumbwa na operesheni ya bomoabomoa inayoendelea Dar es Salaam.     

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani