MKOA WA DAR ES SALAAM WAMDHAMINI BERNARD MEMBE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akionyesha fomu zilizojazwa na wanaCCM wa Mkoa wa Dar es Salaam zaidi ya 1,500 kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athuman Shesha (kulia) katika Ukumbi wa Vijana Kinondoni Juni 25.2015. Kushoto ni mkewe Mama Dorcas Membe. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWANACCM 21,000 WA MKOA WA PWANI WAMDHAMINI BERNARD MEMBE
10 years ago
MichuziHOTUBA YA MHESHIMIWA BERNARD MEMBE KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA KANISA ANGLIKANA, DAYOSISI YA DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
MichuziWAZIRI BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI MKOA WA MBEYA
10 years ago
MichuziWAZIRI BERNARD MEMBE AKUTANA NA WASANII WA FILAMU MKOA WA MOROGORO
10 years ago
Dewji Blog10 Jun
Waziri Bernard Membe apata udhamini wa kishindo katika mkoa wa Ruvuma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vijana, waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa mjini Songea jana, baada ya kuwasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 5,000. (Picha zote na John Badi).
Waziri wa Mambo ya Nje na...
10 years ago
VijimamboMKOA WA MARA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI BERNARD MEMBE
10 years ago
MichuziWAZIRI BERNARD MEMBE APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MKOA WA ARUSHA
10 years ago
VijimamboWAZIRI BERNARD MEMBE AUTINGISHA MKOA WA MANYARA APATA WAEDHAMINI KIBAO