Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANACCM 21,000 WA MKOA WA PWANI WAMDHAMINI BERNARD MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya ofisi ya CCM Wilaya ya Kibaha Mjini mkoani Pwani jana, wakati alipofika kutafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM zaidi ya 21,000 walimdhamini. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKOA WA DAR ES SALAAM WAMDHAMINI BERNARD MEMBE

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akionyesha fomu zilizojazwa na wanaCCM wa Mkoa wa Dar es Salaam zaidi ya 1,500 kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athuman Shesha (kulia) katika Ukumbi wa Vijana Kinondoni Juni 25.2015. Kushoto ni mkewe Mama Dorcas Membe.  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

 

10 years ago

Michuzi

WanaCCM 78, 500 wa Mkowa wa Pwani wamdhamini Mh. Lowassa

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwapungua mkono WanaCCM wa Mji wa Kibaha Mjini wakati alipofika kwenye Ofisi za CCM kukabidhiwa orodha ya majina ya WanaCCM waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Jumla ya WanaCCM 78, 500 wamdhamini Mh. Lowassa, Mkoani Pwani.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Katibu wa CCM Wilaya ya Temeke, Abdallah Mdimu akikabidhi fomu...

 

10 years ago

Vijimambo

WANACCM 78, 500 WA MKOWA WA PWANI WAMDHAMINI MH. LOWASSA, APATA BARAKA ZA VIONGOZI WA DINI

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Pwani, leo Juni 28, 2015, kabla ya kuelekea kwenye Ofisi CCM Wilaya ya Kibaha Mjini kukabidhiwa orodha ya majina ya WanaCCM waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Jumla ya WanaCCM 78, 500 wamdhamini Mh. Lowassa, Mkoani Pwani. Kushoto ni Mkewe...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MKOA WA TANGA, WANACCM 24,124 WAMDHAMINI

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkomo maelfu ya wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Tanga, waliojitokeza kwa wingi kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi, Mkoa wa Tanga jana Juni 17, 2015 zaidi ya WanaCCM 204,125 wamemdhamini Mh. Lowassa, ili aweze kuteuliwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.… ...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI MKOA WA MBEYA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya jana, baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 877. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI BERNARD MEMBE AKUTANA NA WASANII WA FILAMU MKOA WA MOROGORO

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na wasanii wa tasnia ya filamu mkoa wa Morogoro jana, wakati alipokuwa mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo wanaCCM zaidi ya 950 walimdhamini.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE AUTINGISHA MKOA WA MANYARA APATA WAEDHAMINI KIBAO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Manyara, waliofika katika Ofisi ya CCM ya Mkoa huo wilayani Babati Juni 18.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,200. Picha zote na John BadiKatibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Ole Porokwa akitambulisha Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MKOA WA ARUSHA

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofurika nje ya Ofisi ya CCM ya Wilaya ya Arusha jana kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500. Picha zote na John Badi. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto)...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Bernard Membe apata udhamini wa kishindo katika mkoa wa Ruvuma

SONY DSC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vijana, waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa mjini Songea jana, baada ya kuwasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 5,000. (Picha zote na John Badi).

SONY DSC

Waziri wa Mambo ya Nje na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani