WAZIRI BERNARD MEMBE AUTINGISHA MKOA WA MANYARA APATA WAEDHAMINI KIBAO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Manyara, waliofika katika Ofisi ya CCM ya Mkoa huo wilayani Babati Juni 18.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,200. Picha zote na John Badi
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Ole Porokwa akitambulisha Waziri...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MEMBE AUTINGISHA MKOA WA MANYARA, APATA WADHAMINI LUNDO


10 years ago
Michuzi
WAZIRI BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI MKOA WA MBEYA


10 years ago
Dewji Blog10 Jun
Waziri Bernard Membe apata udhamini wa kishindo katika mkoa wa Ruvuma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vijana, waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa mjini Songea jana, baada ya kuwasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 5,000. (Picha zote na John Badi).
Waziri wa Mambo ya Nje na...
10 years ago
MichuziWAZIRI BERNARD MEMBE APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MKOA WA ARUSHA
10 years ago
Vijimambo
WAZIRI BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI GEITA


10 years ago
Vijimambo
WAZIRI BERNARD MEMBE APATA UDHAMINI ZANZIBAR

10 years ago
Vijimambo
WAZIRI BERNARD MEMBE APATA MAPOKEZI MAKUBWA BUKOBA AZOA WADHAMINI


10 years ago
Michuzi
WAZIRI BERNARD MEMBE APATA MAPOKEZI MAKUBWA BUKOBA, AZOA WADHAMINI LUKUKI


10 years ago
Vijimambo
WAZIRI BERNARD MEMBE APATA MAPOKEZI MAKUBWA MOSHI MJINI AZOA WADHAMINI WAKUTOSHA

