MKUYA KUZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA PPRA
![](http://3.bp.blogspot.com/-S1h0mo2U91U/VVNgX8m1WdI/AAAAAAAHXDw/xkxokxgJ_rQ/s72-c/unnamedM.jpg)
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Saada Salum Mkuya anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) yatakayofanyika Mei, 19 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA, Balozi Dk. Matern Lumbanga, amesema lengo la maadhimisho ni kukutanisha wadau wa manunuzi ya umma nchini kujadili mafanikio katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-a4RWjjOEm8E/VVm1OSRW79I/AAAAAAAHYCQ/bWZN203Wmsc/s72-c/6.jpg)
MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA PPRA YAZINDULIWA JIJINI DAR LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-a4RWjjOEm8E/VVm1OSRW79I/AAAAAAAHYCQ/bWZN203Wmsc/s1600/6.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5nMBrFQ_8XQ/VVm1MIV6rrI/AAAAAAAHYB0/4-RqJi6AM_0/s640/2.jpg)
10 years ago
Habarileo03 Jan
Anglikana Dar kesho kuzindua maadhimisho ya miaka 50
KANISA la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Dar es Salaam, kesho linatarajia kuzindua maadhimisho ya miaka 50 ya Dayosisi hiyo ya utoaji huduma za kiroho, kiuchumi na kijamii yatakayokwenda sambamba na shughuli mbalimbali yakiwemo makongamano yatakayohusisha makundi mbalimbali.
11 years ago
Dewji Blog02 May
Pinda kuzindua maadhimisho wa Wiki ya Elimu mjini Dodoma
Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya Wiki ya Elimu yatakayofanyika kitaifa mkoani Dodoma. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Magreth Kinabo.
HASSAN SILAYO- MAELEZO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda kesho atazindua maadhimisho wa Wiki ya Elimu Mjini Dodoma.
Akizungumza na waandishi wa Habari Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene alisema kuwa Maadhimisho hayo yatakwenda sambamba na...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-*rf1dO92wyOiccrawy53D9rietnO2T0fH-GgYln1lBQWZBQPFW6GOavj6mV*4avsHWuOvcU8u5vs0qGsbm23iwdgPlVE0Vv/4.jpg)
MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA MICHUZIBLOG!
10 years ago
Habarileo15 Dec
ALAT wazindua maadhimisho ya miaka 30
JUMUIYA ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ALAT) imezindua rasmi maadhimisho ya m iaka 30 ya jumuiya hiyo, yanayolenga kuweka wazi mafanikio yaliyotokana na Serikali za Mitaa.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OdezeTmklgU/Xkg6RqxUtgI/AAAAAAALdgs/ChkPrBbMuY8cFiKKUM4qlLVinbr2070HACLcBGAsYHQ/s72-c/F87A2752-2.jpg)
MAADHIMISHO MIAKA 43 YA CCM MKOA WA PWANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-OdezeTmklgU/Xkg6RqxUtgI/AAAAAAALdgs/ChkPrBbMuY8cFiKKUM4qlLVinbr2070HACLcBGAsYHQ/s640/F87A2752-2.jpg)
10 years ago
Michuzi09 Apr
Maadhimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari
![Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura pamoja na meza kuu wakiwa wamesimama kimya kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0207.jpg)
![Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0202.jpg)
![Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0248.jpg)
10 years ago
Dewji Blog14 Dec
ALAT yazindua mchakato wa maadhimisho ya miaka 30
Mwenyeki wa ALAT Taifa na Meya Wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi.
Miaka-30-Ya-ALAT2.doc by moblog
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/oOGu6BYFmjw/default.jpg)
MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA UHURU WA TANZANIA BARA