Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA MICHUZIBLOG!

Ndugu zangu,   KILA jambo la nafsiri yake. Maadhimisho ya Miaka Kumi ya uwepo wa Michuziblog hayawezi kupita bila kutafutiwa tafsiri yake.   Kwanza kabisa, kwa niaba ya wajumbe wangu wote, nichukue fursa hii kumpa pongezi za dhati ndugu yangu Kaka Muhidin Issa Michuzi kwa mafanikio makubwa aliyoyapata na pia mchango wake mkubwa alioutoa kwa Wanablogu wengine, nikiwamo mimi.   Muhidin Michuzi ataingia kwenye vitabu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya miaka kumi ya THT Jumamosi hii Escape 1, Mikocheni

·        Ben Paul, Grace Matata waongezeka kwenye burudani, Mrisho Mpoto na Weusi kusindikiza
·        Viingilio shilingi elfu 15 kwenye vituo na elfu 20 mlangoni
Tamasha la miaka kumi ya THT litakalofanyika jumamosi hii katika viwanja vya Escape 1 Mikocheni, limekamilisha maandalizi yake na hivyo kuwataka wadau na wapenzi wake wajitokeze kwa wingi kushuhudia burudani kubwa ya mziki hapa nchini.
THT, ambayo inasifika kwa kuzalisha wasanii mahiri nchini kama Linah, Barnaba, Mwasiti, Ditto,...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA PPRA YAZINDULIWA JIJINI DAR LEO

  Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha (fedha za nje na madeni).Bi Dorothy Mwanyika akizindua maadhimisho ya miaka kumi ya  Mamlaka ya Udhibiti na Manunuzi ya Umma (PPRA) ilioanzishwa mwaka 2015  katika siku moja ya semina ya Wadau wa Habari na PPRA kuhusiana na wajibu wa vyombo vya habari katika kutoa mchango wake kwenye manunuzi ya umma,ambayo inafanyika leo ndani ya ukumbi wa Diamond VIP jijini Dar. Balozi,Mwenyekiti wa bodi ya  Mamlaka ya Udhibiti na Manunuzi wa Umma...

 

10 years ago

CloudsFM

ADAM MCHOMVU KUWAVALISHA WEUSI KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA THT JUMAMOSI HII,ESCAPE ONE

Nyumba ya Vipaji Tanzania(THT)kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake siku ya Jumamosi wiki hii pande za Escape One,Mikocheni jijini Dar.Siku hiyo ya maadhimisho kutakuwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii waliopitia THT pamoja na wasanii wengine wakiwemo Linah Sanga,Amin,Recho,Mwasiti,Barnaba,n.k.Nyumba hiyo ya vipaji imeamua kuachana na kuwatoa wasanii wachanga kwa hiyo hao wanaomaliza ndiyo watakua wa mwisho,badala yake wameanzisha chuo cha ubunifu wa mavazi ambapo wabunifu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania ndani ya miaka kumi

Rais wa Tanzania Jakaya kikwete amelivunja rasmi bunge ,kama ishara ya kukamilika kwa awamu ya nne ya uongozi nchini Tanzania .

 

10 years ago

Dewji Blog

Miaka kumi na moja ya jarida la BANG!

A

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment ,Emelda Mwamanga akionyesha  Jarida la Bang! toleo la 55 ambalo limeadhimisha miaka 11 tokea kuanzishwa kwa jarida hilo.

B

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment ,Emelda Mwamanga akipozi kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo mara baada ya kuongea na wanahabari kwenye sherehe ya kuadhimisha miaka 11 tokea kuanzishwa kwa Jarida la Bang!.

C

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment,...

 

10 years ago

Mwananchi

Elimu ya msingi sasa ni miaka kumi

Serikali imetangaza Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 inayohuisha na kufuta sera kadhaa zilizosimamia sekta hiyo, huku elimu ya msingi ikitakiwa kuwa ya bure na kuishia kidato cha nne, lakini wadau wa elimu nchini wana shaka kama utekelezaji wake utafanyika kwa ufanisi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Msichana wa miaka kumi ajilipua Nigeria

Mlipuaji wa kujitolea muhanga amejilipua katika soko moja katika mji wa kazkazini mashariki wa Maiduguri nchini Nigeria.

 

9 years ago

Michuzi

MICHUZI BLOG YAADHIMISHA MIAKA KUMI YA KUANZISHWA KWAKE

Maadhimisho ya Miaka 10 ya uanzishwaji wa MICHUZI BLOG hapa nchini, chini ya Mmiliki wake Ankal  iliyofanyika ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Keki  ya maadhimisho ya miaka  1o ya MICHUZI BLOG ikiwa na keki ndogo zenye majina ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP. Mr na Mrs Ankal  na watoto wao wakikata keki ya maadhimisho ya miaka 10 ya MICHUZI BLOG, wakishuhudiwa na baadhi ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP.Mkurugezi Mtendaji wa MICHUZI MEDIA GROUP, Ankal akilishwa keki na mkewe ...

 

10 years ago

GPL

SARA MVUNGI: NINA MIAKA KUMI SIJAFANYA ZINAA

Stori: Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu aliyejikita kumtumikia    Bwana kwa nyimbo za Injili, Sara Mvungi amesema kuwa, amechoshwa na upweke wa muda mrefu kwa kuishi bila mwanaume kwa takriban miaka 10 kwa kuwa anasubiri Mungu amshushie mume mwema. Msanii wa filamu aliyejikita kumtumikia Bwana kwa nyimbo za Injili, Sara Mvungi. Akitoa la rohoni kwa paparazi wetu, Sara alisema hajajihusisha na masuala ya mapenzi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani