Tanzania ndani ya miaka kumi
Rais wa Tanzania Jakaya kikwete amelivunja rasmi bunge ,kama ishara ya kukamilika kwa awamu ya nne ya uongozi nchini Tanzania .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-5BJpgOwJcHA/Uyv3TwrB_NI/AAAAAAAFVUo/RCbj0MJxs4Y/s72-c/IMG_0561.jpg)
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LATOA TAARIFA JUU YA UTEKELEZAJI WAKE WA MPANGO KABAMBE WA MIAKA KUMI (2014-2023).
![](http://1.bp.blogspot.com/-5BJpgOwJcHA/Uyv3TwrB_NI/AAAAAAAFVUo/RCbj0MJxs4Y/s1600/IMG_0561.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-c4AaUEji2Ec/Uyv5yq6rPdI/AAAAAAAFVVI/9mePMs5BXLk/s1600/IMG_0585.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-m0wIEoMH_u8/VgN7L38XRuI/AAAAAAAAEHM/R1yXW_vA5Rw/s72-c/IMG_0077.jpg)
Serikali ya CCM Yaahidi Kuweka Umeme Vijiji Vyote Tanzania Ndani ya Miaka Miwili Madarakani
![](http://3.bp.blogspot.com/-m0wIEoMH_u8/VgN7L38XRuI/AAAAAAAAEHM/R1yXW_vA5Rw/s640/IMG_0077.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-TnZStOx6i40/VgN7_LIt7AI/AAAAAAAAEHo/QP53ldCHiHU/s640/IMG_0126.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-xIto0wTqyME/VgN6e6Yb5II/AAAAAAAAEG0/tBZDFfmfhGg/s640/IMG_0046.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-*rf1dO92wyOiccrawy53D9rietnO2T0fH-GgYln1lBQWZBQPFW6GOavj6mV*4avsHWuOvcU8u5vs0qGsbm23iwdgPlVE0Vv/4.jpg)
MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA MICHUZIBLOG!
Ndugu zangu, Â KILA jambo la nafsiri yake. Maadhimisho ya Miaka Kumi ya uwepo wa Michuziblog hayawezi kupita bila kutafutiwa tafsiri yake. Â Kwanza kabisa, kwa niaba ya wajumbe wangu wote, nichukue fursa hii kumpa pongezi za dhati ndugu yangu Kaka Muhidin Issa Michuzi kwa mafanikio makubwa aliyoyapata na pia mchango wake mkubwa alioutoa kwa Wanablogu wengine, nikiwamo mimi. Â Muhidin Michuzi ataingia kwenye vitabu...
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Elimu ya msingi sasa ni miaka kumi
Serikali imetangaza Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 inayohuisha na kufuta sera kadhaa zilizosimamia sekta hiyo, huku elimu ya msingi ikitakiwa kuwa ya bure na kuishia kidato cha nne, lakini wadau wa elimu nchini wana shaka kama utekelezaji wake utafanyika kwa ufanisi.
10 years ago
BBCSwahili10 Jan
Msichana wa miaka kumi ajilipua Nigeria
Mlipuaji wa kujitolea muhanga amejilipua katika soko moja katika mji wa kazkazini mashariki wa Maiduguri nchini Nigeria.
10 years ago
Dewji Blog25 May
Miaka kumi na moja ya jarida la BANG!
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment ,Emelda Mwamanga akipozi kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo mara baada ya kuongea na wanahabari kwenye sherehe ya kuadhimisha miaka 11 tokea kuanzishwa kwa Jarida la Bang!.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment,...
9 years ago
MichuziMICHUZI BLOG YAADHIMISHA MIAKA KUMI YA KUANZISHWA KWAKE
Maadhimisho ya Miaka 10 ya uanzishwaji wa MICHUZI BLOG hapa nchini, chini ya Mmiliki wake Ankal iliyofanyika ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Keki ya maadhimisho ya miaka 1o ya MICHUZI BLOG ikiwa na keki ndogo zenye majina ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP.
Mr na Mrs Ankal na watoto wao wakikata keki ya maadhimisho ya miaka 10 ya MICHUZI BLOG, wakishuhudiwa na baadhi ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP.
Mkurugezi Mtendaji wa MICHUZI MEDIA GROUP, Ankal akilishwa keki na mkewe ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ktsylelmf0nMfYfkUNC2JXfveXaQNpemxePX8bMraLnP2gPJPRyjk7TxrY6b0vp5wPKFpBTse8SgBpsfYZ6yt5PH8Dj4HE0x/saramvungi.jpg)
SARA MVUNGI: NINA MIAKA KUMI SIJAFANYA ZINAA
Stori: Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu aliyejikita kumtumikia   Bwana kwa nyimbo za Injili, Sara Mvungi amesema kuwa, amechoshwa na upweke wa muda mrefu kwa kuishi bila mwanaume kwa takriban miaka 10 kwa kuwa anasubiri Mungu amshushie mume mwema. Msanii wa filamu aliyejikita kumtumikia Bwana kwa nyimbo za Injili, Sara Mvungi. Akitoa la rohoni kwa paparazi wetu, Sara alisema hajajihusisha na masuala ya mapenzi kwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania