SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LATOA TAARIFA JUU YA UTEKELEZAJI WAKE WA MPANGO KABAMBE WA MIAKA KUMI (2014-2023).
![](http://1.bp.blogspot.com/-5BJpgOwJcHA/Uyv3TwrB_NI/AAAAAAAFVUo/RCbj0MJxs4Y/s72-c/IMG_0561.jpg)
Pichani ni Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania,Bwa.Deos Mndeme akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Makao makuu ya Ofisi hizo jijini Dar mapema leo kuhusiana na taarifa juu ya utekelezaji wa Mpango Kabambe wa miaka kumi (2014-2023) wa shirika la Posta Tanzania.
Pichani Kulia ni Meneja Mkuu Uendeshaji wa Biashara,Bwa.Fortunatus Kapinga akifafanua jambo kuhusiana na taarifa juu ya utekelezaji wa Mpango Kabambe wa miaka kumi (2014-2023) wa shirika la Posta...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vJSIy1Pqgjo/U7uU8hmEjJI/AAAAAAAFxK0/uv4d2CTrQpY/s72-c/5.jpg)
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LATOA HUDUMA MBALIMBALI MAONESHO YA SABA SABA
![](http://1.bp.blogspot.com/-vJSIy1Pqgjo/U7uU8hmEjJI/AAAAAAAFxK0/uv4d2CTrQpY/s1600/5.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iGVUpPsN1NA/U7uU7Lj7vaI/AAAAAAAFxKk/WK24NqoEFS4/s1600/1.jpg)
11 years ago
MichuziShirika la Posta Tanzania (TPC) lawatunuku Wafanyakazi wake bora
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-QuyplVTgcgM/VAmEDdOoYFI/AAAAAAAGenY/hzcdXLFO5AY/s72-c/TAARIFA%2BKWA%2BUMMA-TUME%2BOPERESHENI%2BTOKOMEZA.jpeg)
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
MIAKA 50 YA MUUNGANO : Shirika la Posta lajivunia mafanikio
SHIRIKA la Posta Tanzania limeshiriki katika maonyesho ya miaka 50 ya Muungano yaliyofanyika Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Lengo la ushiriki huo ni kuonyesha jamii kuwa wanadumisha muungano uliopo baina...
5 years ago
MichuziTPC LATOA TAARIFA YA MAFANIKO NA MATARAJIO YA SHIRIKA KWA MWAKA 2019/ 2020
5 years ago
MichuziUTUMISHI YAFANYA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KUJADILI TAARIFA YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2019/20 NA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA 2020/21
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyakazi kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2019/20 na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,...
11 years ago
MichuziShirika la Posta Tanzania katika maonyesho ya Sabasaba
9 years ago
VijimamboESHI LA POLISI MKOANI MWANZA LATOA MSIMAMO WAKE JUU YA SUALA LA MITA 200 BAADA YA KUPIGA KURA