Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPC LATOA TAARIFA YA MAFANIKO NA MATARAJIO YA SHIRIKA KWA MWAKA 2019/ 2020

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kanali Mstaafu, Dkt. Haruni Kondo, akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa taarifa ya mafanikio na matarajio ya shirika hilo, kwa mwaka 2019/2020, mara baada ya Mkutano Mkuu wa Pili wa Mwaka, (2nd Annual General Meeting), jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe.Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi, akizungumza wakati akimkaribisha Postamasta Mkuu,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2019 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2020/21 WAWASILISHWA BUNGENI, LEO

MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DK. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWAMWAKA 2019 NA MPANGO WA MAENDELEOWA TAIFA WA MWAKA 2020/21
UTANGULIZI
1.          Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21. Pamoja na hotuba hii ninawasilisha vitabu vya Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YAKUTANA NA KAMATI YA BUNGE YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI KWA MWAKA 2019/2020



Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Salim Mwinyi Rehani (mwenye suti nyeusi) wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi hayupo pichani aliyekuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Wizara ya mwaka...

 

5 years ago

Michuzi

UTUMISHI YAFANYA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KUJADILI TAARIFA YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2019/20 NA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA 2020/21


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyakazi kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2019/20 na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,...

 

5 years ago

Michuzi

MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO,DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2019 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2020/21


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21, jijini Dodoma.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, (kushoto) akiwa na Wakuu wa Taasisi na Idara wa Wizara hiyo, wakati Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA TAARIFA YA MPANGO WA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KWA MWAKA 2019/2020

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, GeorgeSimbachawene (Watano kushoto) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Wizara yake wakiwa katika Kikao Cha Kupitia Mpango na Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hii kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2019 hadi Februari, 2020. Kikao hicho kilifanyika katika Ofisi za Wizara hii Mtumba, JijiniDodoma leo.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, GeorgeSimbachawene (Kushoto) akisisitiza jambo katika Kikao cha kupitia Taarifa ya Mpango na Utekelezaji wa Bajeti...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MPANGO:TAARIFA YA HALI YA UCHUMI 2019, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA MWAKA 2020/21 ZIMEZINGATIA DHANA YA USHIRIKISHWAJI MPANA WA WADAU


Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango amesema taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21 zimezingatia dhana ya ushirikishwaji mpana wa wadau katika hatua za uandaaji na maamuzi katika ngazi zote Serikalini. 
Akizungumza Bungeni Mjini Dodoma leo wakati anawasilisha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2020/21 ambapo ametumia nafasi hiyo kufafanua yamezingatia...

 

11 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LATOA TAARIFA JUU YA UTEKELEZAJI WAKE WA MPANGO KABAMBE WA MIAKA KUMI (2014-2023).

 Pichani ni Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania,Bwa.Deos Mndeme akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Makao makuu ya Ofisi hizo jijini Dar mapema leo kuhusiana na taarifa juu ya utekelezaji wa Mpango Kabambe wa miaka kumi (2014-2023) wa shirika la Posta Tanzania. Pichani Kulia ni Meneja Mkuu Uendeshaji wa Biashara,Bwa.Fortunatus Kapinga akifafanua jambo kuhusiana na taarifa juu ya utekelezaji wa Mpango Kabambe wa miaka kumi (2014-2023) wa shirika la Posta...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA MWAKA 2019/21

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey Mwanri akisikiliza maoni ya wajumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa baada ya kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti yam waka 2019/2020 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mkoa wake kwa Mwaka waFedha 2020/2021. Kikao hicho cha Kamati kimefanyika katika Ofisi za Bunge, Jijini Dodoma.Mbunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani