Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MICHUZI BLOG YAADHIMISHA MIAKA KUMI YA KUANZISHWA KWAKE

Maadhimisho ya Miaka 10 ya uanzishwaji wa MICHUZI BLOG hapa nchini, chini ya Mmiliki wake Ankal  iliyofanyika ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Keki  ya maadhimisho ya miaka  1o ya MICHUZI BLOG ikiwa na keki ndogo zenye majina ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP. Mr na Mrs Ankal  na watoto wao wakikata keki ya maadhimisho ya miaka 10 ya MICHUZI BLOG, wakishuhudiwa na baadhi ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP.Mkurugezi Mtendaji wa MICHUZI MEDIA GROUP, Ankal akilishwa keki na mkewe ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim Tanzania yaadhimisha miaka 18 ya kuanzishwa kwake.

 Afisa  Mtendaji Mkuu wa benki ya Exim Tanzania akizingumza na baadhi ya wafanyakazi  pamoja na wateja wa benki hiyo wakati wa hafla fupi iliyoaandaliwa na benki hiyo  kuadhimisha miaka 18 tangu kuanzishwa kwa benki hiyo. Hafla hiyo ilifanyika kwenye makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa juma lililopita. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo  wakifurahia kwa pamoja wakati wa hafla fupi iliyoaandaliwa na benki ...

 

10 years ago

Michuzi

LHRC YAADHIMISHA MIAKA 20 TANGU KUANZISHWA KWAKE SEPTEMBA 26, 1995

 Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Septemba 26,1995, Jaji Mstaafu Osebia Munuo (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu cha maadhimisho ya miaka 20 cha LHRC yaliyofanyika Makao Makuu ya LHRC Kijitonyama Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya LHRC, Geoffrey Mmari na Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dk.Helen Kijo-Bisimba.  Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Kituo cha...

 

10 years ago

Vijimambo

MIAKA 10 YA MICHUZI BLOG MJUE MICHUZI ALIKOTOKEA NA UPIGAJI PICHA


Hii Video ililekodiwa mwaka 2011 ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC

 

10 years ago

GPL

SHEREHE ZA KUADHIMISHA MIAKA 10 YA MICHUZI BLOG‏

Ndugu zangu,   KILA jambo la nafsiri yake. Maadhimisho ya Miaka Kumi ya uwepo wa Michuziblog hayawezi kupita bila kutafutiwa tafsiri yake.   Kwanza kabisa, kwa niaba ya wajumbe wangu wote, nichukue fursa hii kumpa pongezi za dhati ndugu yangu Kaka Muhidin Issa Michuzi kwa mafanikio makubwa aliyoyapata na pia mchango wake mkubwa alioutoa kwa Wanablogu wengine, nikiwamo mimi.   Muhidin Michuzi ataingia kwenye vitabu vya...

 

10 years ago

Michuzi

THT KUADHIMISHA MIAKA 10 TANGU KUANZISHWA KWAKE

Meneja Mkuu wa Tanzania House of Talent, Mwita Mwaikenda akizungumza kuhusiana na maadhimisho ya miaka kumi ya THT, kulia ni mwakilishi wa kampuni ya MOSAIC, Deo Masagati ambao ndio wadhamini wa shuguli hiyo, na kushoto ni mwanamziki Peter Msechu ambaye ndio mwongozaji wa burudani siku ya tamasha.Mbunifu wa Mavazi, Ally Remtullah akiongea na waandishi kuhusu uzinduzi wa mradi wa ubunifu na ushonaji unaonzishwa na THT. Kulia ni Peter Msechu, na kushoto ni Lameck Ditto.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

CLOUDS FM YASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 15 TANGU KUANZISHWA KWAKE.

Mmoja wa Watangazaji machachari wa Clouds FM,Adam Mchomvu akitoa muongozo mfupi kwa baadhi ya Wafanyakazi wenzake waliomzunguka,kuhusiana na ukataji na ulaji wa Ndafu kama ionekavyo pichani,wakati wa hafla ya kutimiza miaka 15 ya kituo cha redio ya Clouds FM,tangu kuanzishwa kwake nchini.Redio hiyo imejizolea umaarufu mkubwa Afrika Mashariki na Kati na Duniani kwa ujumla.
Globu ya Jamii inaitakia kheri na fanaka Clouds FM katika kusherehekea miaka 15 tangu kuzaliwa kwake. Ndafu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani