THT KUADHIMISHA MIAKA 10 TANGU KUANZISHWA KWAKE
Meneja Mkuu wa Tanzania House of Talent, Mwita Mwaikenda akizungumza kuhusiana na maadhimisho ya miaka kumi ya THT, kulia ni mwakilishi wa kampuni ya MOSAIC, Deo Masagati ambao ndio wadhamini wa shuguli hiyo, na kushoto ni mwanamziki Peter Msechu ambaye ndio mwongozaji wa burudani siku ya tamasha.
Mbunifu wa Mavazi, Ally Remtullah akiongea na waandishi kuhusu uzinduzi wa mradi wa ubunifu na ushonaji unaonzishwa na THT. Kulia ni Peter Msechu, na kushoto ni Lameck Ditto.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog15 Jan
THT kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, tarehe 31/1/2015, Escape 1
Meneja Mkuu wa Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji, Tanzania House of Talent (THT), Mwita Mwaikenda akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar leo.
Kufungua kampuni ya ushonaji na ubunifu wa mavazi
Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji, Tanzania House of Talent, kinatarajia kuadhimisha miaka kumi toka kuanzishwa kwake hapo tarehe 31/1/2015 Escape 1 jijini Dar es Salaam.
THT ilianzishwa mwishoni mwa mwaka 2005 kwa lengo la kuwasaidia vijana wenye vipaji, lakini wasio na uwezo wa...
10 years ago
CloudsFM15 Jan
THT KUADHIMISHA MIAKA 10 TANGU KUAZISHWA
Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji(THT) kinarajia kuadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa kwake,sherehe hizo zinarajiwa kufanyika Jan.31,Escape One,Mikocheni jijini Dar.
THT ilianzishwa mwishoni mwa mwaka 2005 kwa lengo la kuwasaidia vijana wenye vipaji,lakini wasio na uwezo wa kujiendeleza wenyewe kwenye sekta ya sanaa hapa nchini,na toka wakati huo kituo hicho kimekuwa na mafanikio makubwa na mchango wa pekee kwenye kukuza sana ya muziki hapa nchini.
Akizungumzia maadhimisho hayo meneja wa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-yVdcjoxl-qQ/VH28kPporXI/AAAAAAACvss/NBZMBpxhUmI/s72-c/1.jpg)
CLOUDS FM YASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 15 TANGU KUANZISHWA KWAKE.
![](http://2.bp.blogspot.com/-yVdcjoxl-qQ/VH28kPporXI/AAAAAAACvss/NBZMBpxhUmI/s1600/1.jpg)
Globu ya Jamii inaitakia kheri na fanaka Clouds FM katika kusherehekea miaka 15 tangu kuzaliwa kwake.
![](http://3.bp.blogspot.com/-DjjcZlnX_50/VH28sZpMMmI/AAAAAAACvuk/ZkLywZZngO0/s1600/9.jpg)
9 years ago
MichuziLHRC YAADHIMISHA MIAKA 20 TANGU KUANZISHWA KWAKE SEPTEMBA 26, 1995
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-NqulteiIpoU/VGYlQTApnEI/AAAAAAAGxPg/-ekrz66VjsA/s72-c/2.jpg)
KAMPUNI YA MAFUTA YA ENGEN YAANDIMISHA MIAKA 21 TANGU KUANZISHWA KWAKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-NqulteiIpoU/VGYlQTApnEI/AAAAAAAGxPg/-ekrz66VjsA/s1600/2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-wHBUqOz_Y2k/VGYlVOOHYLI/AAAAAAAGxQk/AbdZCsHmERg/s1600/8.jpg)
Wafanyakazi wa Kampuni ya Mafuta ya ENGEN Tanzania leo Novemba 14,2014 wameungana na wafanyakazi wenzao Barani Afrika kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 21 ya kuanzishwa kwa Kampuni hiyo,ambayo husherehekewa kila Mwaka ifikapo tarehe kama ya leo.Engeni ni Kampuni iliyojikita katika uuzaji wa Mafuta bora ndani na nje ya Tanzania,huku ikiendelea kujivunia kwa Ubora wake.Pichani ni Sehemu ya Wafanyakazi wa Kampuni hiyo ya Engen hapa nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja nje ya jengo lao Kurasini...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-nLEl9cdSLmI/VNSVp75tk6I/AAAAAAACzeg/VxfTlxruEAc/s72-c/samuel.jpg)
Sitta awapongeza waandaaji wa Tamasha la Pasaka kutimiza miaka 15 tangu kuanzishwa kwake
![](http://1.bp.blogspot.com/-nLEl9cdSLmI/VNSVp75tk6I/AAAAAAACzeg/VxfTlxruEAc/s1600/samuel.jpg)
9 years ago
StarTV07 Jan
TRA yafanikiwa kuvuka lengo tangu kuanzishwa kwake
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa mara ya kwanza imefanikiwa kuvuka lengo la makusanyo ya kodi tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996.
TRA imevuka lengo kwa kukusanya Shilingi trilioni moja, milioni 400, laki mbili na elfu 20 kwa Desemba 2015, ikiwa ni zaidi ya ongezeko la wastani wa Shilingi bilioni 490 kwa mwezi.
Ongezeko hilo la makusanyo ya kodi ni zaidi ya Shilingi milioni 900 zilizokusanywa kwa kipindi cha miezi mitano, kati ya Julai na Novemba mwaka jana.
Kaimu Kamishna Mkuu wa...
9 years ago
MichuziHOME GYM MWENGE YASHEREHEKEA MIAKA 17 TANGU KUANZISHWA
Washiriki wakiwa katika Jogging.
9 years ago
MichuziMICHUZI BLOG YAADHIMISHA MIAKA KUMI YA KUANZISHWA KWAKE