Sitta awapongeza waandaaji wa Tamasha la Pasaka kutimiza miaka 15 tangu kuanzishwa kwake

WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta ameelezea kufurahishwa na waandaaji wa Tamasha la Pasaka na kusema kuwa katika miaka 15 ya tamasha hilo wana mengi ya kujivunia. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es Salaam jana na kusainiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ilieleza kuwa kamati yake imepokea salamu kutoka kwa Waziri Sitta akizungumzia maandalizi ya miaka 15 ya tamasha hilo. “Ni tamasha lenye tija kwa Watanzania, mimi mwenyewe nimekuwa shahidi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
CLOUDS FM YASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 15 TANGU KUANZISHWA KWAKE.

Globu ya Jamii inaitakia kheri na fanaka Clouds FM katika kusherehekea miaka 15 tangu kuzaliwa kwake.

10 years ago
MichuziTHT KUADHIMISHA MIAKA 10 TANGU KUANZISHWA KWAKE

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
MichuziLHRC YAADHIMISHA MIAKA 20 TANGU KUANZISHWA KWAKE SEPTEMBA 26, 1995
10 years ago
Michuzi
KAMPUNI YA MAFUTA YA ENGEN YAANDIMISHA MIAKA 21 TANGU KUANZISHWA KWAKE


Wafanyakazi wa Kampuni ya Mafuta ya ENGEN Tanzania leo Novemba 14,2014 wameungana na wafanyakazi wenzao Barani Afrika kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 21 ya kuanzishwa kwa Kampuni hiyo,ambayo husherehekewa kila Mwaka ifikapo tarehe kama ya leo.Engeni ni Kampuni iliyojikita katika uuzaji wa Mafuta bora ndani na nje ya Tanzania,huku ikiendelea kujivunia kwa Ubora wake.Pichani ni Sehemu ya Wafanyakazi wa Kampuni hiyo ya Engen hapa nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja nje ya jengo lao Kurasini...
10 years ago
Dewji Blog15 Jan
THT kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, tarehe 31/1/2015, Escape 1
Meneja Mkuu wa Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji, Tanzania House of Talent (THT), Mwita Mwaikenda akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar leo.
Kufungua kampuni ya ushonaji na ubunifu wa mavazi
Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji, Tanzania House of Talent, kinatarajia kuadhimisha miaka kumi toka kuanzishwa kwake hapo tarehe 31/1/2015 Escape 1 jijini Dar es Salaam.
THT ilianzishwa mwishoni mwa mwaka 2005 kwa lengo la kuwasaidia vijana wenye vipaji, lakini wasio na uwezo wa...
10 years ago
Michuzi
TAMASHA LA PASAKA KUTIMIZA MIAKA 15 KWA KISHINDO,KUHUSISHA SHUGHULI MBALIMBALI ZA KIJAMII

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama amezungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo kinondoni Moroco hapo jana,kuhusiana na maandalizi ya tamasha hilo kwa mwaka huu, Msama amesema tamasha hilo mwaka huu pamoja na kuwepo waimbaji wa muziki wa ...
9 years ago
StarTV07 Jan
TRA yafanikiwa kuvuka lengo tangu kuanzishwa kwake
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa mara ya kwanza imefanikiwa kuvuka lengo la makusanyo ya kodi tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996.
TRA imevuka lengo kwa kukusanya Shilingi trilioni moja, milioni 400, laki mbili na elfu 20 kwa Desemba 2015, ikiwa ni zaidi ya ongezeko la wastani wa Shilingi bilioni 490 kwa mwezi.
Ongezeko hilo la makusanyo ya kodi ni zaidi ya Shilingi milioni 900 zilizokusanywa kwa kipindi cha miezi mitano, kati ya Julai na Novemba mwaka jana.
Kaimu Kamishna Mkuu wa...
10 years ago
MichuziHOME GYM MWENGE YASHEREHEKEA MIAKA 17 TANGU KUANZISHWA
Washiriki wakiwa katika Jogging.
10 years ago
MichuziMICHUZI BLOG YAADHIMISHA MIAKA KUMI YA KUANZISHWA KWAKE