Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


THT KUADHIMISHA MIAKA 10 TANGU KUAZISHWA

Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji(THT) kinarajia kuadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa kwake,sherehe hizo zinarajiwa kufanyika Jan.31,Escape One,Mikocheni jijini Dar.THT ilianzishwa mwishoni mwa mwaka 2005 kwa lengo la kuwasaidia vijana wenye vipaji,lakini wasio na uwezo wa kujiendeleza wenyewe kwenye sekta ya sanaa hapa nchini,na toka wakati huo kituo hicho kimekuwa na mafanikio makubwa na mchango wa pekee kwenye kukuza sana ya muziki hapa nchini.Akizungumzia maadhimisho hayo meneja wa...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

THT KUADHIMISHA MIAKA 10 TANGU KUANZISHWA KWAKE

Meneja Mkuu wa Tanzania House of Talent, Mwita Mwaikenda akizungumza kuhusiana na maadhimisho ya miaka kumi ya THT, kulia ni mwakilishi wa kampuni ya MOSAIC, Deo Masagati ambao ndio wadhamini wa shuguli hiyo, na kushoto ni mwanamziki Peter Msechu ambaye ndio mwongozaji wa burudani siku ya tamasha.Mbunifu wa Mavazi, Ally Remtullah akiongea na waandishi kuhusu uzinduzi wa mradi wa ubunifu na ushonaji unaonzishwa na THT. Kulia ni Peter Msechu, na kushoto ni Lameck Ditto.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

THT kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, tarehe 31/1/2015, Escape 1

1

Meneja Mkuu wa Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji, Tanzania House of Talent (THT), Mwita Mwaikenda akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar leo.

Kufungua kampuni ya ushonaji na ubunifu wa mavazi

Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji, Tanzania House of Talent, kinatarajia kuadhimisha miaka kumi toka kuanzishwa kwake hapo tarehe 31/1/2015 Escape 1 jijini Dar es Salaam.

THT ilianzishwa mwishoni mwa mwaka 2005 kwa lengo la kuwasaidia vijana wenye vipaji, lakini wasio na uwezo wa...

 

10 years ago

GPL

THT WANATIMIZA MIAKA 10 LEO

Esterlina Sanga ‘Linah’. Mwasiti Almasi. Rachael Mapenzi.…

 

10 years ago

GPL

THT KUAZIMISHA MIAKA 10 JANUARI 31 ESCAPE ONE

Meneja Mkuu wa THT, Mwita Mwaikenda, akizungumza mbele ya waandishi wa habari leo namna watakavyoadhimisha sherehe za miaka 10 ya THT. Msanii wa Bongo Fleva nchini, Peter Msechu (katikati), akizungumzia upande wa burudani namna walivyojipanga kutoa burudani siku hiyo ya maadhimisho ya miaka 10 ya THT ndani ya Ukumbi wa Escape One.…

 

10 years ago

Mwananchi

Msami aonyesha maajabu miaka 10 ya THT

Giovanni Msami huenda akawa ni msanii aliyewafunika wasanii wote baada ya kufanya burudani ya aina yake katika jukwaa la miaka 10 ya Jumba la Vipaji Tanzania (THT), licha ya kuwapo Bendi ya jumba hilo. 

 

10 years ago

CloudsFM

MAANDALIZI YA TAMASHA LA MIAKA 10 YA THT Escape 1 MIKOCHENI YAKAMILIKA

Tamasha la miaka kumi ya THT litakalofanyika jumamosi hii katika viwanja vya Escape 1 Mikocheni, limekamilisha maandalizi yake na hivyo kuwataka wadau na wapenzi wake wajitokeze kwa wingi kushuhudia burudani kubwa ya mziki hapa nchini.
THT, ambayo inasifika kwa kuzalisha wasanii mahiri nchini kama Linah, Barnaba, Mwasiti, Ditto, Mataluma, Vumi, Beka, Recho, Marlaw, Msami, Makomando na wengine wengi, imejipanga kutoa burudani kubwa ya mziki kwa mashabiki wake.

Akizungumza kuhusu maandalizi...

 

10 years ago

GPL

MIAKA 10 YA THT YASHEREHEKEWA KWA MBWEMBWE ZA KILA AINA

Ben Pol na Jose Mara wakiwa katika picha ya pamoja. Wadau mbalimbali wakitia saini zao kwenye bango la THT.…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Miaka 10 ya THT yaadhimishwa kwa kishindo Escape One

Tanzania House of Talent, THT, imeadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake. Kilele cha maadhimisho hayo kililifanyika pale Escape One kwa show kali ya live. Zaidi ya wasanii wa THT, wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Mwana FA,Ali Kiba,Bushoke,Weusi,Mrisho Mpoto,Fid Q na wengine. Tazama picha zaidi hapo chini.

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya miaka kumi ya THT Jumamosi hii Escape 1, Mikocheni

·        Ben Paul, Grace Matata waongezeka kwenye burudani, Mrisho Mpoto na Weusi kusindikiza
·        Viingilio shilingi elfu 15 kwenye vituo na elfu 20 mlangoni
Tamasha la miaka kumi ya THT litakalofanyika jumamosi hii katika viwanja vya Escape 1 Mikocheni, limekamilisha maandalizi yake na hivyo kuwataka wadau na wapenzi wake wajitokeze kwa wingi kushuhudia burudani kubwa ya mziki hapa nchini.
THT, ambayo inasifika kwa kuzalisha wasanii mahiri nchini kama Linah, Barnaba, Mwasiti, Ditto,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani