Picha: Miaka 10 ya THT yaadhimishwa kwa kishindo Escape One
Tanzania House of Talent, THT, imeadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake. Kilele cha maadhimisho hayo kililifanyika pale Escape One kwa show kali ya live. Zaidi ya wasanii wa THT, wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Mwana FA,Ali Kiba,Bushoke,Weusi,Mrisho Mpoto,Fid Q na wengine. Tazama picha zaidi hapo chini.
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N9SP9Z4W-Dew*AV0NPxyHQwpQJavRYIyBpFzQhaR0-dqpKSiYWubBbNtA*40kVHLhsVqbUjOd1tN0mZHHZrfAUNLZLl0fQgJ/1.jpg?width=750)
THT KUAZIMISHA MIAKA 10 JANUARI 31 ESCAPE ONE
10 years ago
CloudsFM30 Jan
MAANDALIZI YA TAMASHA LA MIAKA 10 YA THT Escape 1 MIKOCHENI YAKAMILIKA
Tamasha la miaka kumi ya THT litakalofanyika jumamosi hii katika viwanja vya Escape 1 Mikocheni, limekamilisha maandalizi yake na hivyo kuwataka wadau na wapenzi wake wajitokeze kwa wingi kushuhudia burudani kubwa ya mziki hapa nchini.
THT, ambayo inasifika kwa kuzalisha wasanii mahiri nchini kama Linah, Barnaba, Mwasiti, Ditto, Mataluma, Vumi, Beka, Recho, Marlaw, Msami, Makomando na wengine wengi, imejipanga kutoa burudani kubwa ya mziki kwa mashabiki wake.
Akizungumza kuhusu maandalizi...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FWSUCdw43AI/VMpDoEH-e-I/AAAAAAACy4I/tuTGcTAyr3o/s72-c/images.jpgd.jpg)
Maadhimisho ya miaka kumi ya THT Jumamosi hii Escape 1, Mikocheni
![](http://2.bp.blogspot.com/-FWSUCdw43AI/VMpDoEH-e-I/AAAAAAACy4I/tuTGcTAyr3o/s1600/images.jpgd.jpg)
· Viingilio shilingi elfu 15 kwenye vituo na elfu 20 mlangoni
Tamasha la miaka kumi ya THT litakalofanyika jumamosi hii katika viwanja vya Escape 1 Mikocheni, limekamilisha maandalizi yake na hivyo kuwataka wadau na wapenzi wake wajitokeze kwa wingi kushuhudia burudani kubwa ya mziki hapa nchini.
THT, ambayo inasifika kwa kuzalisha wasanii mahiri nchini kama Linah, Barnaba, Mwasiti, Ditto,...
10 years ago
Dewji Blog15 Jan
THT kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, tarehe 31/1/2015, Escape 1
Meneja Mkuu wa Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji, Tanzania House of Talent (THT), Mwita Mwaikenda akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar leo.
Kufungua kampuni ya ushonaji na ubunifu wa mavazi
Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji, Tanzania House of Talent, kinatarajia kuadhimisha miaka kumi toka kuanzishwa kwake hapo tarehe 31/1/2015 Escape 1 jijini Dar es Salaam.
THT ilianzishwa mwishoni mwa mwaka 2005 kwa lengo la kuwasaidia vijana wenye vipaji, lakini wasio na uwezo wa...
10 years ago
CloudsFM02 Feb
10 years ago
CloudsFM29 Jan
ADAM MCHOMVU KUWAVALISHA WEUSI KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA THT JUMAMOSI HII,ESCAPE ONE
Nyumba ya Vipaji Tanzania(THT)kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake siku ya Jumamosi wiki hii pande za Escape One,Mikocheni jijini Dar.Siku hiyo ya maadhimisho kutakuwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii waliopitia THT pamoja na wasanii wengine wakiwemo Linah Sanga,Amin,Recho,Mwasiti,Barnaba,n.k.
Nyumba hiyo ya vipaji imeamua kuachana na kuwatoa wasanii wachanga kwa hiyo hao wanaomaliza ndiyo watakua wa mwisho,badala yake wameanzisha chuo cha ubunifu wa mavazi ambapo wabunifu...
11 years ago
Mwananchi12 Jan
Miaka 50 ya Mapinduzi Z’bar yaadhimishwa kwa fikra tofauti
10 years ago
GPLMIAKA 10 YA THT YASHEREHEKEWA KWA MBWEMBWE ZA KILA AINA
10 years ago
CloudsFM30 Dec