Benki ya Exim Tanzania yaadhimisha miaka 18 ya kuanzishwa kwake.

Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Exim Tanzania akizingumza na baadhi ya wafanyakazi pamoja na wateja wa benki hiyo wakati wa hafla fupi iliyoaandaliwa na benki hiyo kuadhimisha miaka 18 tangu kuanzishwa kwa benki hiyo. Hafla hiyo ilifanyika kwenye makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa juma lililopita.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo wakifurahia kwa pamoja wakati wa hafla fupi iliyoaandaliwa na benki ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMICHUZI BLOG YAADHIMISHA MIAKA KUMI YA KUANZISHWA KWAKE
10 years ago
MichuziLHRC YAADHIMISHA MIAKA 20 TANGU KUANZISHWA KWAKE SEPTEMBA 26, 1995
11 years ago
MichuziBARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA LAADHIMISHA MIAKA 10 KUANZISHWA KWAKE CHINI YA UWENYEKITI WA TANZANIA
10 years ago
MichuziTHT KUADHIMISHA MIAKA 10 TANGU KUANZISHWA KWAKE

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
Michuzi
Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa kupinga ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani.

Wakati wa shughuli hiyo wafanyakazi wa kike wa benki hiyo walitoa wito kwa wanawake nchini kutumia maadhimisho ya mwaka huu kutokomeza ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani. ...
10 years ago
Michuzi
CLOUDS FM YASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 15 TANGU KUANZISHWA KWAKE.

Globu ya Jamii inaitakia kheri na fanaka Clouds FM katika kusherehekea miaka 15 tangu kuzaliwa kwake.

11 years ago
Dewji Blog16 Sep
Mfuko wa Pensheni wa PSPF watimiza miaka 15 tokea kuanzishwa kwake
Mkurugenzi wa Idara ya Habari- Maelezo, Bw Assah Mwambene akizungumza jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari na Viongozi wa Mfuko wa Hifadhi wa Pensheni wa PSPF mapema leo katika Ukumbi wa JB Belmonte, Jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa pensheni wa PSPF, Bw Adam Mayingu akizungumzia mafanikio ya mfuko wa PSPF katika kipindi cha Miaka 15 tokea kuanzishwa kwake katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo katika Ukumbi wa JB Belmonte Jijini Dar.
10 years ago
Michuzi
KAMPUNI YA MAFUTA YA ENGEN YAANDIMISHA MIAKA 21 TANGU KUANZISHWA KWAKE


Wafanyakazi wa Kampuni ya Mafuta ya ENGEN Tanzania leo Novemba 14,2014 wameungana na wafanyakazi wenzao Barani Afrika kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 21 ya kuanzishwa kwa Kampuni hiyo,ambayo husherehekewa kila Mwaka ifikapo tarehe kama ya leo.Engeni ni Kampuni iliyojikita katika uuzaji wa Mafuta bora ndani na nje ya Tanzania,huku ikiendelea kujivunia kwa Ubora wake.Pichani ni Sehemu ya Wafanyakazi wa Kampuni hiyo ya Engen hapa nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja nje ya jengo lao Kurasini...
10 years ago
Dewji Blog15 Jan
THT kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, tarehe 31/1/2015, Escape 1
Meneja Mkuu wa Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji, Tanzania House of Talent (THT), Mwita Mwaikenda akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar leo.
Kufungua kampuni ya ushonaji na ubunifu wa mavazi
Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji, Tanzania House of Talent, kinatarajia kuadhimisha miaka kumi toka kuanzishwa kwake hapo tarehe 31/1/2015 Escape 1 jijini Dar es Salaam.
THT ilianzishwa mwishoni mwa mwaka 2005 kwa lengo la kuwasaidia vijana wenye vipaji, lakini wasio na uwezo wa...