Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Elimu ya msingi sasa ni miaka kumi

Serikali imetangaza Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 inayohuisha na kufuta sera kadhaa zilizosimamia sekta hiyo, huku elimu ya msingi ikitakiwa kuwa ya bure na kuishia kidato cha nne, lakini wadau wa elimu nchini wana shaka kama utekelezaji wake utafanyika kwa ufanisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHULE YA AWALI YA ABEL MEMORIAL NURSERY AND PRIMARY SCHOOL SASA KUANZA KUTOA ELIMU YA MSINGI MWAKANI, MAHAFALI YAO YAFANA

Wanafunzi ambao ndio wamehitimu shule ya ABEL MEMORIAL NURSERY AND PRIMARY SCHOOL leo shule ambayo ipo bunju jijini Dar es salaam hapa wakikata keki pamoja na mwalimu wao ishara ya kufurahia mafanikio waliyoyapata pamoja na mafanikio ya shule hiyo tanghu kuanmzishwa kwakeWahitimu wakiwa katika pozi za kusubiri sherehe ya kuwaaga rasmi kutoka elimu ya awali kuingia elimu ya msingiMgeni rasmi wa mahafali hayo mama NEEMA KIBANGA ambaye ni afisa elimu wa kata ya bunju akikabidhi vyeti kwa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Elimu ya awali msingi wa elimu Tanzania

WARIOBA IGOMBE

NYUMBA imara inahitaji msingi uliokamilika katika ujenzi, ikiwa yatatumika mawe, zege au udongo basi fundi asifikirie kulipua ili amalize.

Ikiwa utaratibu hautafuatwa katika kujenga msingi imara nyumba itaanguka wakati wowote, inawezekana ikaanguka wakati ujenzi ukiendelea au miaka michache baada ya kukamilika.

Katika mtiririko huo huo mwanafunzi anaandaliwa kwa kujengewa msingi mzuri, anapoanza elimu ya awali na baadaye shule ya msingi kabla ya kwenda sekondari...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yafuta rasmi ada kwa elimu ya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne na michango yote katika elimu ya msingi

Serikali imeamua kutoa elimu pasipo malipo kwa elimu ya msingi kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne, kuanzia mwaka wa masomo wa 2016 kama ilivyoahidi.  Azma hii ya serikali ni katika kutekeleza sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ina lengo la kuhakikisha kwamba watoto wote wa Tanzania wanapata Elimu bila kikwazo ikiwemo ada au malipo.  Katika kutekeleza maamuzi hayo, ada zote zilizokuwa zikilipwa kwa ajili ya elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne zimefutwa.Pia, waraka wa...

 

9 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA MICHUZIBLOG!

Ndugu zangu,   KILA jambo la nafsiri yake. Maadhimisho ya Miaka Kumi ya uwepo wa Michuziblog hayawezi kupita bila kutafutiwa tafsiri yake.   Kwanza kabisa, kwa niaba ya wajumbe wangu wote, nichukue fursa hii kumpa pongezi za dhati ndugu yangu Kaka Muhidin Issa Michuzi kwa mafanikio makubwa aliyoyapata na pia mchango wake mkubwa alioutoa kwa Wanablogu wengine, nikiwamo mimi.   Muhidin Michuzi ataingia kwenye vitabu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania ndani ya miaka kumi

Rais wa Tanzania Jakaya kikwete amelivunja rasmi bunge ,kama ishara ya kukamilika kwa awamu ya nne ya uongozi nchini Tanzania .

 

10 years ago

BBCSwahili

Msichana wa miaka kumi ajilipua Nigeria

Mlipuaji wa kujitolea muhanga amejilipua katika soko moja katika mji wa kazkazini mashariki wa Maiduguri nchini Nigeria.

 

10 years ago

Dewji Blog

Miaka kumi na moja ya jarida la BANG!

A

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment ,Emelda Mwamanga akionyesha  Jarida la Bang! toleo la 55 ambalo limeadhimisha miaka 11 tokea kuanzishwa kwa jarida hilo.

B

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment ,Emelda Mwamanga akipozi kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo mara baada ya kuongea na wanahabari kwenye sherehe ya kuadhimisha miaka 11 tokea kuanzishwa kwa Jarida la Bang!.

C

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment,...

 

10 years ago

Mtanzania

Madudu elimu ya msingi

Pg 1Na Mariam Mkumbaru, Dar es Salaam
KATIKA hali isiyo ya kawaida, zaidi ya wanafunzi 459 wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Saku iliyopo Chamazi, Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, wanasoma katika darasa moja.
Hali hiyo ya wanafunzi kusoma katika darasa moja na wengine chini ya miti inayozunguka shule hiyo, inachangiwa na upungufu wa majengo ya shule hiyo ambayo ina vyumba saba vya madarasa huku ikiwa na zaidi ya wanafunzi 2,038.
Akizungumza na MTANZANIA ambayo ilifika shuleni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani