Madudu elimu ya msingi
Na Mariam Mkumbaru, Dar es Salaam
KATIKA hali isiyo ya kawaida, zaidi ya wanafunzi 459 wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Saku iliyopo Chamazi, Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, wanasoma katika darasa moja.
Hali hiyo ya wanafunzi kusoma katika darasa moja na wengine chini ya miti inayozunguka shule hiyo, inachangiwa na upungufu wa majengo ya shule hiyo ambayo ina vyumba saba vya madarasa huku ikiwa na zaidi ya wanafunzi 2,038.
Akizungumza na MTANZANIA ambayo ilifika shuleni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Madudu ya Shule ya Msingi Kitarungu
11 years ago
Habarileo20 May
Madudu katika elimu yaendelea
WABUNGE wamesema hali ya elimu nchini ni mbaya na kumshauri Rais Jakaya Kikwete, kuunda Tume ya Kudumu ya Elimu ili kuangalia ubora na kudhibiti sekta hiyo muhimu.
10 years ago
Michuzi12 Apr
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Mbatia azidi kuanika madudu ya elimu
MBUNGE wa kuteuliwa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), amesema wasilaumiwe walimu na wanafunzi kwa matokeo mabaya katika sekta ya elimu, kwamba lawama hizo zielekezwe kwa Serikali iliyoshindwa kutoa majibu ya tume ya...
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Elimu ya awali msingi wa elimu Tanzania
WARIOBA IGOMBE
NYUMBA imara inahitaji msingi uliokamilika katika ujenzi, ikiwa yatatumika mawe, zege au udongo basi fundi asifikirie kulipua ili amalize.
Ikiwa utaratibu hautafuatwa katika kujenga msingi imara nyumba itaanguka wakati wowote, inawezekana ikaanguka wakati ujenzi ukiendelea au miaka michache baada ya kukamilika.
Katika mtiririko huo huo mwanafunzi anaandaliwa kwa kujengewa msingi mzuri, anapoanza elimu ya awali na baadaye shule ya msingi kabla ya kwenda sekondari...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mtvGQMaGEL0/VlqYSW9M6SI/AAAAAAAII4U/eUoUCys3Nd8/s72-c/1.png)
Serikali yafuta rasmi ada kwa elimu ya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne na michango yote katika elimu ya msingi
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Mpango wa Elimu ya Msingi ni kiini macho
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Elimu ya msingi sasa ni miaka kumi