Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madudu katika elimu yaendelea

WABUNGE wamesema hali ya elimu nchini ni mbaya na kumshauri Rais Jakaya Kikwete, kuunda Tume ya Kudumu ya Elimu ili kuangalia ubora na kudhibiti sekta hiyo muhimu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

PPF KANDA YA KINONDONI YAENDELEA KUTOA ELIMU KATIKA MAONESHO YA 2 YA KIBIASHARA YA TANGA

Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni inayojumuisha wilaya ya Kinondoni, mkoa wa Pwani (Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo) na mkoa wa Tanga Bi Zahra Kayugwa akimsikiliza Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Abdallah Kigoda alipotembelea katika banda la PPF, pembeni yake ni Makamu wa Rais Viwanda – TCCIA Makao makuu ,Ndugu Yakub Hasham. Mfuko wa PPF unaandikisha wanachama kutoka katika sekta rasmi na isiyo rasmi. Afisa Mwandamizi wa PPF Kanda ya Kinondoni Bi Upendo Mazzuki akitoa elimu kwa...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAENDELEA KUMWAGA ELIMU KATIKA MAONESHO YA SABASABA 2015

Mtaalam katika Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Rayson Nkya (kushoto) akielezea sera ya madini kwa wananchi waliotembelea banda la Wizara hiyo kwenye maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Mtaalam kutoka Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM), Ayoub Shija akielezea shughuli za mgodi huo katika banda la Wizara ya Nishati na Madini.Mtaalam kutoka Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) Steven Lowoko akitoa maelezo juu ya jinsi mtambo wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Madudu elimu ya msingi

Pg 1Na Mariam Mkumbaru, Dar es Salaam
KATIKA hali isiyo ya kawaida, zaidi ya wanafunzi 459 wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Saku iliyopo Chamazi, Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, wanasoma katika darasa moja.
Hali hiyo ya wanafunzi kusoma katika darasa moja na wengine chini ya miti inayozunguka shule hiyo, inachangiwa na upungufu wa majengo ya shule hiyo ambayo ina vyumba saba vya madarasa huku ikiwa na zaidi ya wanafunzi 2,038.
Akizungumza na MTANZANIA ambayo ilifika shuleni...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbatia azidi kuanika madudu ya elimu

MBUNGE wa kuteuliwa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), amesema wasilaumiwe walimu na wanafunzi kwa matokeo mabaya katika sekta ya elimu, kwamba lawama hizo zielekezwe kwa Serikali iliyoshindwa kutoa majibu ya tume ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Madudu ya mahakama katika kesi za ujangili

Wakati Serikali na wadau mbalimbali wakipiga kelele kuhusu kukithiri kwa ujangili unaotishia kutoweka kwa wanyamapori nchini, baadhi ya mahakimu wamebainika kutoa hukumu zinazokinzana na Sheria ya Wanyamapori namba 5 ya 2009 na ile ya makosa ya uhujumu uchumi.

 

9 years ago

Michuzi

VETA YASHIRIKI MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI KATIKA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA WATAALAM WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA UNAOFANYIKA KATIKA OFISI ZA UMOJA WA AFRIKA JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA TAREHE 27 HADI 31 OKTOBA,2015

Katibu Mtendaji wa Tume ya Sayansi, Ufundi na Utafiti wa Umoja wa Afrika Dkt. Ahmed Hamdy akimsikiliza kwa makini mwanafunzi Abubakar Masandiko  wakati anaelezea ubunifu huo wa kuwasha na kuzima taa kwa kutumia remote katika maonesho hayo.Naibu Waziri wa Elimu wa nchini Somalia, Bw. Hamud Ally Hassan akimpongeza mwanafunzi Abubakar Masandiko kwa ubunifu wake uliotokana na elimu ya tehama anayoendelea kuipata katika chuo cha VETA Kipawa.Mwanafunzi wa chuo cha VETA Kipawa Bw. Abubakar...

 

5 years ago

CCM Blog

FEZA YAENDELEA NA ELIMU MTANDAONI

Baada ya shule zote kufungwa kwa kipindi cha siku 30 na watoto wakiwa nyumbani ili kujikinga na janga la Corona ambalo limeikumba dunia nzima, zoezi la ufundishaji katika shule za Feza bado linaendelea kupitia mtandaoni.

Shule za hizo za kimataifa zinaendelea na ufundishaji kwa kufanya mapitio ya masomo ili watoto wasisahau kile walichokisoma katika kipindi hiki ambacho wapo nyumbani.

Akiongea kuhusu suala hili mkurugenzi wa shule za Feza Tanzania ndugu Ibrahim Yunus alisema yafuatayo:...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Airtel yaendelea kusaidia sekta ya elimu

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel, imesaidia jitihada za serikali za kuhamasisha masomo ya sayansi kwa kutoa msaada wa vitabu vya sayansi kwa shule ya sekondari Bariadi iliyopo mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel Yaendelea Kusaidia Sekta ya Elimu hapa Nchini

 Meneja wa Airtel Simiyu Bw. Ezekiel Nungwi akikabidhi msaada wa vitabu vya sayansi kwa Mkuu wa wilaya ya Bariadi Bw. Erasto Sima.  Mkuu wa shule ya sekondari ya Bariadi Bw. Pawa Lutema akipokea msaada wa vitabu vya sayansi kutoka kwa mkuu wa wilaya Bariadi.  Mkuu wa wilaya ya  Bariad Bw. Erasto Sima akisoma Hotuba katika makabidhiano ya msaada wa vitabu vya masomi ya sayansi kwa shule ya sekondari Bariadi uliotolewa na kampuni ya Airtel Tanzania
========  =======  ======== Airtel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani