Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Elimu ya msingi kutolewa bure Tanzania

Sera ya elimu ya msingi inasema Wanafunzi watasoma bure

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Elimu ya msingi kuendelea kutolewa bure


SERIKALI imesema elimu ya msingi inaendelea kutolewa bure kwenye shule za serikali licha ya kwamba wazazi wanachangia kwa kiasi kidogo.
Hayo yalielezwa bungeni mjini hapa jana, na Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Adam Malima, wakati akijibu swali la Dk, Hamisi Kigwangwala (Nzega-CCM), aliyetaka kujua kwa nini serikali inakusanya kodi kwa wananchi na kisha kuchangiwa huduma za afya, elimu na maji badala ya kutoa huduma hizi bure.
Malima, alisema chanzo kikuu cha mapato ya serikali yoyote ni...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Elimu ya awali msingi wa elimu Tanzania

WARIOBA IGOMBE

NYUMBA imara inahitaji msingi uliokamilika katika ujenzi, ikiwa yatatumika mawe, zege au udongo basi fundi asifikirie kulipua ili amalize.

Ikiwa utaratibu hautafuatwa katika kujenga msingi imara nyumba itaanguka wakati wowote, inawezekana ikaanguka wakati ujenzi ukiendelea au miaka michache baada ya kukamilika.

Katika mtiririko huo huo mwanafunzi anaandaliwa kwa kujengewa msingi mzuri, anapoanza elimu ya awali na baadaye shule ya msingi kabla ya kwenda sekondari...

 

9 years ago

Mwananchi

Elimu bure ya Nyerere vs elimu bure ya Magufuli

Nakubaliana na Rais John Magufuli kuwa Watanzania wanahitaji maarifa. Nakubaliana naye kuwa watoto wa maskini wanahitaji elimu, tena elimu yenye maarifa siyo kurundikana darasani tu pasipo maarifa wala kujifunza.

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli: Elimu ya bure itapatikana Tanzania

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amewahakikishia Watanzania kwamba elimu ya bure itapatikana kama alivyoahidi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Uturuki kuisaidia Tanzania kufanikisha elimu bure

picha 1

Balozi wa Uturuki nchini Bi.Yasemin Eralp kisalimia na Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson Mwansasu alipomtembelea ofisini kwake jana.

picha 2

Balozi wa Uturuki nchini Bi.Yasemin Eralp akisaini kitabu cha wageni alipotemblea ofisi za Bunge jijini Dar es salaam jana. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson Mwansasu .

picha 3

Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson Mwansasu akizungumza na...

 

10 years ago

Mwananchi

Kampeni za elimu bure zitasaidia kuboresha elimu yetu?

Kipindi cha kampeni za uchaguzi zinapokaribia, ni wakati muhimu sana kwa wananchi kuongeza umakini katika kusikiliza na kuamua ipi ni hoja au ahadi ya msingi kwa mustakbali wa nchi yetu.

 

10 years ago

Michuzi

Mamlaka ya Elimu Tanzania inatarajia kukabidhi madawati 2000 kwa shule za Msingi 10

Meneja Habari, Elimu na Mawasiliano toka Mamlaka ya Elimu Tanzania Bi Sylvia Lupembe akiongea na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu jitihada wanazofanya kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ili kukabiliana na changamoto katika sekta ya elimu,wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Masoko na Uhusiano toka benki ya KCB Bi. Christina Manyenye. Meneja Sheria na Uhusiano toka kampuni ya uuzaji na usambazaji wa mafuta ya TOTAL Bi....

 

10 years ago

Habarileo

Elimu sheria ya mtandao kutolewa

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame MbarawaWAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa amesema kuanzia wiki ijayo wataalamu wake wataanza kutoa elimu kwa umma kuhusu sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015, ili ianze kutumika rasmi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani