Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uturuki kuisaidia Tanzania kufanikisha elimu bure

picha 1

Balozi wa Uturuki nchini Bi.Yasemin Eralp kisalimia na Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson Mwansasu alipomtembelea ofisini kwake jana.

picha 2

Balozi wa Uturuki nchini Bi.Yasemin Eralp akisaini kitabu cha wageni alipotemblea ofisi za Bunge jijini Dar es salaam jana. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson Mwansasu .

picha 3

Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson Mwansasu akizungumza na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Elimu bure ya Nyerere vs elimu bure ya Magufuli

Nakubaliana na Rais John Magufuli kuwa Watanzania wanahitaji maarifa. Nakubaliana naye kuwa watoto wa maskini wanahitaji elimu, tena elimu yenye maarifa siyo kurundikana darasani tu pasipo maarifa wala kujifunza.

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli: Elimu ya bure itapatikana Tanzania

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amewahakikishia Watanzania kwamba elimu ya bure itapatikana kama alivyoahidi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Elimu ya msingi kutolewa bure Tanzania

Sera ya elimu ya msingi inasema Wanafunzi watasoma bure

 

10 years ago

Mwananchi

Kampeni za elimu bure zitasaidia kuboresha elimu yetu?

Kipindi cha kampeni za uchaguzi zinapokaribia, ni wakati muhimu sana kwa wananchi kuongeza umakini katika kusikiliza na kuamua ipi ni hoja au ahadi ya msingi kwa mustakbali wa nchi yetu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbinu za kufanikisha elimu kwa mtoto wa kike

Kwa kuwa watoto wa kike nao wana haki ya kuhitimu masomo kama ilivyo kwa wenzao wa kiume, chapisho lingine la HakiElimu liitwalo: Mbinu za kufanikisha elimu kwa wasichana, linapendekeza njia kadhaa za kuwanusuru wasichana ili hatimaye watimize ndoto za maisha yao. Chapisho linaeleza:

 

9 years ago

Habarileo

Shule 11 kutohusika elimu bure

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Ufundi imetoa waraka wa elimu kuhusu elimumsingi bila malipo na kutoa orodha ya shule za msingi 11 za Serikali ambazo hazihusiki na utoaji wa elimu bure uliotangazwa na Rais John Magufuli. Elimumsingi inajumuisha elimu ya awali, ya msingi na sekondari ambayo itaanza Januari mwakani.

 

10 years ago

Habarileo

SMZ kutoa elimu bure

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la heshima la vikosi vya ulinzi na usalama wakati wa sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Amaan mjini Unguja jana. (Picha na Ikulu).SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imefuta ada ya wanafunzi wa shule za msingi, ikiwa ni utekelezaji wa dhamira ya mapinduzi ya kuwapatia wanafunzi wote elimu bure, kama ilivyoasisiwa na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amaan Karume.

 

9 years ago

Habarileo

Askofu aguswa na elimu bure

ASKOFU wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Morogoro, Telesphor Mkude ameeleza kuguswa na uamuzi wa Serikali ya Awamu ya Tano wa kutoa elimu bure kuanzia awali hadi Kidato cha Nne jambo ambalo amehimiza Rais John Magufuli aungwe mkono katika hilo.

 

9 years ago

Habarileo

Muongozo elimu bure waandaliwa

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, amesema wizara yake inaandaa mwongozo utakaotoa maelekezo juu ya muundo, mfumo na utaratibu nyumbufu utakaohakikisha kuwa ifikapo Januari mwakani, elimu ya msingi inatolewa bila malipo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani