Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbinu za kufanikisha elimu kwa mtoto wa kike

Kwa kuwa watoto wa kike nao wana haki ya kuhitimu masomo kama ilivyo kwa wenzao wa kiume, chapisho lingine la HakiElimu liitwalo: Mbinu za kufanikisha elimu kwa wasichana, linapendekeza njia kadhaa za kuwanusuru wasichana ili hatimaye watimize ndoto za maisha yao. Chapisho linaeleza:

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa kike anavyosongwa katika safari ya kupata elimu

Kama kuna mikakati iliyobuniwa kuwasaidia watoto wa kike kupata elimu nchini, ni pamoja na ujenzi wa shule za sekondari za kata.

 

5 years ago

Michuzi

Shirika la World Vision Tanzania jijini Arusha latoe elimu ya kujikinga na Corona,Ulinzi na usalama wa mtoto wa kike katika vijiji 32

Na Jusline Marco-Longido

Shirika la World Vision Tanzania,Mkoani Arusha limetoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona iliyoenda  sambamba na ulinzi na usalama wa mtoto wa kike katika vijiji 32 Wilayani Longido.

Akizungumza na waandishi wa habari Wilayani humo mratibu wa Kitumbeine DP, Bi.Peruth Daudi alisema kuwa katika suala la uhamasihaji jamii juu ya COVID-19 wameweza kufikia vijiji 19 vilivyomo ndani ya Mradi huo huku vijiji 13 vikiwa nje ya mradi ambavyo  navyo vimeweza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TCEMN yataka ulinzi kwa mtoto wa kike

WAKATI nchi ikiwa inaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa Desemba, mwaka huu, ulinzi kwa mtoto wa kike umetakiwa kuwa ajenda ya wanasisasa katika kampeni zao. Hayo yalisemwa jana na...

 

9 years ago

Bongo5

Mtazame kwa ukaribu mtoto wa kike wa Fid Q, Fidelie

Fareed Kubanda aka Fid Q amemtambulisha kwa ukaribu binti yake mwenye mwezi mmoja sasa, Fidelie. Mtoto huyo alizaliwa September 25 mwaka huu. Rapper huyo amepost picha ya Fidelie kwenye Instagram na kuandika: #MalkiaWaNyamagana Bi #Fidelie.” Hivi karibuni Fid Q alisema ni mapema kuzungumzia masuala ya ndoa na mpenzi wake kutoka Jamhuri ya Czech aliyemzalia mtoto […]

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AANZA MAANDALIZI KWA AJILI YA MTOTO WAKE WA KIKE

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ameonyesha kuanza maandalizi kwa kijacho wake ambaye imeelezwa ni mtoto wa kike. Diamond na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' wanatarajia mtoto wa kike mwaka huu. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Diamond ametupia picha akiwa na kitanda cha magurudumu kwa ajili ya mtoto mchanga.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wazazi washtakiwa kwa 'kumruhusu' mtoto wao kuvalia nguo za kike

Luiz aliruhusiwa kuvalia nguo za kischana tangu alipokuwa na miaka mitatu baada ya wazazi wake kusadiki kwa ana jinsia mbili. Familia hiyo iliishia kuchunguzwa ili kubaini ikiwa ilikiuka haki ya mtoto huyo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Uturuki kuisaidia Tanzania kufanikisha elimu bure

picha 1

Balozi wa Uturuki nchini Bi.Yasemin Eralp kisalimia na Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson Mwansasu alipomtembelea ofisini kwake jana.

picha 2

Balozi wa Uturuki nchini Bi.Yasemin Eralp akisaini kitabu cha wageni alipotemblea ofisi za Bunge jijini Dar es salaam jana. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson Mwansasu .

picha 3

Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson Mwansasu akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA KIKE ABURUZWA NA BABA YAKE MTAA MZIMA KWENYE PIKIPIKI KWA KUTOKWENDA SHULE


Mtoto Anastazia Jumanne akiwa amefungwa  mikono yake kwenye pikipiki kwa mpira
Na Valence Robert-Geita
Mtoto Anastazia Jumanne (12) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi katika wilaya na mkoa wa Geita amefanyiwa ukatili wa kutisha baada kufungwa mpira kwenye pikipiki na baba yake mzazi na kisha kuanza kumburuza mtaani. Tukio hilo la kusikitisha limetokea jana majira ya sa tatu asubuhi katika moja ya mitaa ya mjini humo ambapo inadaiwa kuwa binti huyo anayesoma darasa la nne katika shule...

 

10 years ago

Michuzi

MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AKABIDHI MSAADA NA KUTOA ELIMU YA AFYA KWA WATOTO WA KIKE WA SHULE YA MSINGI MSIMBAZI MSETO

Miss Universe Tanzania 2014 Caroline Bernard leo amekabidhi msaada pamoja na kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa watoto wa kike katika shule ya msingi Msimbazi Mseto jijini Dar es salaam, ukiwa ni mwendelezo wake katika kufanya kazi za kijamii.Caroline ambaye ndiye aliyetwaa taji la Miss Universe Tanzania 2014 ataendelea kulitumikia taji lake kama mrembo mtawazwa ingawa alishindwa kwenda kushindana kimataifa kutokana na sababu za kiafya. Caroline alishindwa kwenda kushiriki kwenye mashindano ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani