MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AKABIDHI MSAADA NA KUTOA ELIMU YA AFYA KWA WATOTO WA KIKE WA SHULE YA MSINGI MSIMBAZI MSETO
![](http://3.bp.blogspot.com/-oibWxPrRM7s/VYvizWvbRJI/AAAAAAAHj5M/XmTVcITNf4Q/s72-c/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
Miss Universe Tanzania 2014 Caroline Bernard leo amekabidhi msaada pamoja na kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa watoto wa kike katika shule ya msingi Msimbazi Mseto jijini Dar es salaam, ukiwa ni mwendelezo wake katika kufanya kazi za kijamii.Caroline ambaye ndiye aliyetwaa taji la Miss Universe Tanzania 2014 ataendelea kulitumikia taji lake kama mrembo mtawazwa ingawa alishindwa kwenda kushindana kimataifa kutokana na sababu za kiafya. Caroline alishindwa kwenda kushiriki kwenye mashindano ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AKABIDHI MSAADA KWA WASICHANA WA SHULE YA MSINGI MSIMBAZI MSETO
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fJzbY6rH4io/U3Uwe5cE7eI/AAAAAAAFiAE/EBOCXbhrIFU/s72-c/unnamed6.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MSIMBAZI MSETO KWENYE KITUO CHA WATOTO WENYE USONJI (AUTISM).
![](http://4.bp.blogspot.com/-fJzbY6rH4io/U3Uwe5cE7eI/AAAAAAAFiAE/EBOCXbhrIFU/s1600/unnamed6.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-IeutPcVF9Dw/U3UwgDDWTpI/AAAAAAAFiAY/CQW7ZiAcPgg/s1600/unnamed7.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-az0ZQVjApJE/U3UwgEwBnLI/AAAAAAAFiAQ/fdix21M3qxM/s1600/unnamed8.jpg)
10 years ago
GPLWAZAZI WALALAMIKIA MICHANGO SHULE MSIMBAZI MSETO
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Miss Ilala 2013 Doris Mollel akabidhi vitabu 50 shule ya msingi Pugu Dar
Miss Ilala 2013, Doris Mollel ijumaa ya wiki iliyopita alitembelea shule ya msingi Pugu jijini Dar es Salaam na kukabidhi vitabu 50 za hadithi kwa wanafunzi wa shule hiyo katika harakati zake binafsi za kuwajengea wanafunzi na watoto utamaduni na tabia ya kujisomea kwenye umri mdogo.
Miss Ilala huyo wa mwaka 2013 alitumia nafasi hiyo kuwahamasisha wanafunzi kujisomea kama ufunguo wa maisha yao ya baadaye.
Miss Ilala 2013, Doris Mollel, akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembea shule...
9 years ago
Dewji Blog12 Sep
PPF yatoa msaada kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi, Shule ya msingi ya Jeshi la Wokovu jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-TAY0tFuNku8/VfLkbDTJlRI/AAAAAAAAZNg/QRxYl-YuUMA/s640/PPF_ALBINO2.jpg)
Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, (kushoto), na Afisa wa Fedha Mwandamizi wa Mfuko huo, Angel Mukasa, (kulia), na Mfanyakazi mwingine wa Mfuko huo, Omari Bundile, (wapili kushoto), wakigawa mafuta maalum yanayotumiwa na watu wenye ulemavu wa ngozi, pamoja na sare za shule na viatu kwa wanafunzi hawa wenye ulemavu wa ngozi wa shule ya msingi ya Jeshi la Wokovu, Kurasini jijini Dar es Salaam leo Septemba 11, 2015. Katika kutekeleza sera ya mfuko ya kusaidia jamii,...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-TAY0tFuNku8/VfLkbDTJlRI/AAAAAAAAZNg/QRxYl-YuUMA/s72-c/PPF_ALBINO2.jpg)
PPF YATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI, SHULE YA MSINGI YA JESHI LA WOKOVU JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-TAY0tFuNku8/VfLkbDTJlRI/AAAAAAAAZNg/QRxYl-YuUMA/s640/PPF_ALBINO2.jpg)
10 years ago
MichuziMFUKO WA GEPF WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) KATIKA SHULE YA MSINGI YA MATUMAINI YA JESHI LA WOKOVU ILIYOPO KURASINI
10 years ago
Dewji Blog04 Jan
Miss Singida 2014 Dorice Mollel atoa msaada wa vifaa tiba kwa wodi ya watoto njiti
Miss Singida 2014 Dorice Mollel akizungumza muda mfupi kabla ya kukabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 1.2 milioni kwenye wodi ya watoto njiti ya hospitali ya mkoa mjini Singida. Miss Singida huyo ambaye mwaka jana alikuwa pia mshindi wa kwanza Miss kanda ya kati na kushika nafasi ya tatu katika shindano la kumsaka Miss Tanzania, amesema ametoa msaada huo kwa sababu na yeye alizaliwa mapacha njiti.
Na Nathaniel Limu, Singida
JUMLA ya watoto 284 hadi 300, huzaliwa kila...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-bBmz2bJgF-g/U_XUQ7JAP7I/AAAAAAAGBKE/F3Xkq_odWzU/s72-c/unnamed%2B(80).jpg)
Mamlaka ya Elimu Tanzania inatarajia kukabidhi madawati 2000 kwa shule za Msingi 10
![](http://2.bp.blogspot.com/-bBmz2bJgF-g/U_XUQ7JAP7I/AAAAAAAGBKE/F3Xkq_odWzU/s1600/unnamed%2B(80).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-qPFqQEZKfG0/U_XUQhg7WBI/AAAAAAAGBKM/DrMZCM79aSA/s1600/unnamed%2B(81).jpg)