PPF yatoa msaada kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi, Shule ya msingi ya Jeshi la Wokovu jijini Dar
Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, (kushoto), na Afisa wa Fedha Mwandamizi wa Mfuko huo, Angel Mukasa, (kulia), na Mfanyakazi mwingine wa Mfuko huo, Omari Bundile, (wapili kushoto), wakigawa mafuta maalum yanayotumiwa na watu wenye ulemavu wa ngozi, pamoja na sare za shule na viatu kwa wanafunzi hawa wenye ulemavu wa ngozi wa shule ya msingi ya Jeshi la Wokovu, Kurasini jijini Dar es Salaam leo Septemba 11, 2015. Katika kutekeleza sera ya mfuko ya kusaidia jamii,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziPPF YATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI, SHULE YA MSINGI YA JESHI LA WOKOVU JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziMFUKO WA GEPF WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) KATIKA SHULE YA MSINGI YA MATUMAINI YA JESHI LA WOKOVU ILIYOPO KURASINI
10 years ago
Vijimambo29 Nov
MFUKO WA GEPF WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI
Mtoto Maria Mwingira akipokea msaada wa mafuta maalum ambayo hukinga ngozi yao wakati wa jua kali kutoka kwa Meneja Masoko wa GEPF, Bw. Aloyce Ntukamazina.Kijana Salum Iddi akitoa neno la shukurani kwa Mfuko wa GEPF kwa niaba ya watoto...
9 years ago
MichuziZitto Kabwe akabidhi bweni la wanafunzi Shule ya watoto wenye ulemavu wa ngozi Buhangija, Shinyanga
10 years ago
MichuziMISS UNIVERSE NALE BONIFACE ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) CHA SALVATION ARMY JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
MichuziWafanyakazi wa Citi Bank tawi la Tanzania watoa msaada kwenye Kitengo cha Watoto wenye Ulemavu wa akili,Tandika jijini Dar
9 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MADAWATI 200 KWA SHULE YA MSINGI BUYUNI ILALA, DAR ES SALAAM
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto) akikata utepe wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 200 kwa Shule ya Msingi Buyuni iliyopo Chanika katika Manispaa ya Ilala jijini...
10 years ago
Dewji Blog30 Nov
TICTS yakabidhi msaada wa vitabu kwa shule ya msingi Mivinjeni jijini Dar
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yakabidhi msaada wa madawati kwa shule ya Msingi Maweni-Kigamboni,Jijini Dar