Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miss Singida 2014 Dorice Mollel atoa msaada wa vifaa tiba kwa wodi ya watoto njiti

DSC03176

Miss Singida 2014 Dorice Mollel akizungumza muda mfupi kabla ya kukabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 1.2 milioni kwenye wodi ya watoto njiti ya hospitali ya mkoa mjini Singida. Miss Singida huyo ambaye mwaka jana alikuwa pia mshindi wa kwanza Miss kanda ya kati na kushika nafasi ya tatu katika shindano la kumsaka Miss Tanzania, amesema ametoa msaada huo kwa sababu na yeye alizaliwa mapacha njiti.

Na Nathaniel Limu, Singida

JUMLA ya watoto 284 hadi 300, huzaliwa kila...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MISS SINGIDA 2014 DORICE MOLLEL ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WODI YA WATOTO NJITI‏

Miss Singida 2014 Dorice Mollel akizungumza muda mfupi kabla ya kukabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 1.2 milioni kwenye wodi ya watoto njiti ya hospitali ya mkoa mjini Singida. Miss Singida huyo ambaye mwaka jana alikuwa pia mshindi wa kwanza Miss kanda ya kati na kushika nafasi ya tatu katika shindano la kumsaka Miss Tanzania, amesema ametoa msaada huo kwa sababu na yeye alizaliwa mapacha njiti.… ...

 

10 years ago

Michuzi

DORIS MOLLEL ACHANGIA VIFAA VYA KUPUMULIA KWENYE WODI YA WATOTO NJITI SINGIDA KWA USHIRIKIANO NA MANIFESTER BRAND

Na mwandishi wetu, Singida.
Katika kuianza safari yake ya huduma za jamii kwa mwaka 2015, Redds Miss Kanda ya kati 2014-2015 Doris Mollel ametoa msaada wa mashine 2 za kupumulia kwenye hospitali ya mkoa wa Singida zenye thamani ya Tsh 1,200,000/=. Mashine hizo huwasaidia watoto waliozaliwa kabla ya muda wa kawaida (Pre-mature babies) katika mfumo wao wa upumuaji ambao huhitaji msaada wa juu zaidi mara tu wanapozaliwa.
Doris ambaye pia ni mshindi wa tatu wa Redds Miss Tanzania 2014 ni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Miss Ilala 2013 Dorice Mollel atembelea kampuni ya RIELA Ujerumani

photo

Bw. Karl Heinz Knoop akielezea historia fupi  kuhusu kampuni yake kwa wanafunzi wa Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere akiwemo Miss Ilala 2013 Dorice Mollel wanaoshiriki program ya mwezi mmoja nchini Ujerumani.

Miss Ilala 2013 Dorice Mollel (kushoto pichani) akiwa kwenye program ya mwezi mmoja, na wenzake 8 kutoka Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere  ambapo wamepata nafasi ya kwenda  kutembelea  Kiwanda cha Kilimo  kilichoanzishwa mwaka  1972  ambacho kinamilikiwa na Bw. Karl Heinz Knoop ,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mlata atoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 5.7 kwa kituo cha afya cha Sokoine

DSC00141

Baadhi ya vifaa tiba na madawa mbalimbali yaliyotolewa msaada na Martha Mosses Mlata kwa kituo cha afya cha Sokoine mjini Singida.

DSC00145

Katibu wa jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Singida, Anjela Robert (kulia) akimkabidhi moja nguzo ya kutundikia maji ya drip, kwa ajili ya matumizi katika kituo cha afya cha Sokoine, Kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Omary Kisuda.Katibu Anjela alikabidhi msaada huo uliotolewa na Martha Mosses Mlata uliomgharimu zaidi ya shilingi 5.7...

 

10 years ago

Dewji Blog

Miss Kanda ya Kati Dorice Mollel akutana na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani

altAlFzJG1DY2zxBFLGNi25BmiZi0AbAj0wJczqpfwvgVvh

Miss Kanda ya Kati Dorice Mollel katika picha ya  pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe Philip Marmo nje jengo la ubalozi wa Tanzania jijini Berlin alipotembelea ubalozi huu akiwa kwenye program ya mwezi mmoja, na wenzake 8 (hawapo pichani) kutoka Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere.

Baada ya kutembelea ofisi za ubalozi wa Tanzania jijini Berlin, Mhe. Marmo aliwaelezea historia ya ushirikiano baina ya Ujerumani na Tanzania ambapo nchi hiyo imekuwa miongoni mwa wadau wa maendeleo...

 

9 years ago

Mwananchi

Samia aombwa wodi ya watoto njiti

Wakazi wa wilaya ya Kwimba wamemuomba mgombea mwenza wa urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassani awajengee wodi ya watoto waliozaliwa kabla ya wakati (njiti) ili kuwanusuru uhai wao endapo chama chake kitashinda nafasi ya urais.

 

10 years ago

Michuzi

MISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL ATEMBELEA KAMPUNI YA KUTENGENEZA UMEME WA GESI NA KUTUNZA MAZAO RIELA NCHINI UJERUMANI

photoBw. Karl Heinz Knoop akielezea historia fupi kuhusu kampuni yake kwa wanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu  Nyerere akiwemo Miss Ilala 2013 Dorice Mollel wanaoshiriki program ya mwezi mmoja nchini Ujerumani.
Miss Ilala 2013 Dorice Mollel (kushoto pichani) akiwa kwenye program ya mwezi mmoja, na wenzake 8 kutoka Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere ambapo wamepata nafasi ya kwenda kutembelea Kiwanda cha Kilimo kilichoanzishwa mwaka 1972 ambacho kinamilikiwa na Bw. Karl Heinz Knoop...

 

10 years ago

GPL

MISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL ATEMBELEA KAMPUNI YA KUTENGENEZA UMEME WA GESI NA KUTUNZA MAZAO RIELA NCHINI UJERUMANI‏

Bw. Karl Heinz Knoop akielezea historia fupi kuhusu kampuni yake kwa wanafunzi wa Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere akiwemo Miss Ilala 2013 Dorice Mollel wanaoshiriki program ya mwezi mmoja nchini Ujerumani. Na waandishi wetu Miss Ilala 2013 Dorice Mollel (kushoto pichani) akiwa kwenye program ya mwezi mmoja, na wenzake 8 kutoka Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere ambapo wamepata nafasi ya kwenda kutembelea Kiwanda cha...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAIPONGEZA JUHUDI ZINAZOFANYWA NA TAASISI YA DORIS MOLLEL FOUNDATION ZA KUSAIDIA WATOTO NJITI

DSC_1839Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki akizungumza mbele ya wanahabari, madaktari na baadhi ya akina mama waliokuwa na watoto waliozaliwa kabla ya wakati maarufu kama Njiti (Hawapo pichani). Kushoto ni DoriS Mollel ambaye ni Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation (DMF) na wengine ni maafisa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Andrew Chale, ModewjiblogSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepongeza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani