Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YAIPONGEZA JUHUDI ZINAZOFANYWA NA TAASISI YA DORIS MOLLEL FOUNDATION ZA KUSAIDIA WATOTO NJITI

DSC_1839Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki akizungumza mbele ya wanahabari, madaktari na baadhi ya akina mama waliokuwa na watoto waliozaliwa kabla ya wakati maarufu kama Njiti (Hawapo pichani). Kushoto ni DoriS Mollel ambaye ni Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation (DMF) na wengine ni maafisa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Andrew Chale, ModewjiblogSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepongeza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yaipongeza juhudi zinazofanywa na Taasisi ya Doris Mollel Foundation za kusaidia watoto njiti!

DSC_1839

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki  akizungumza mbele ya wanahabari, madaktari na baadhi ya akina mama waliokuwa na watoto waliozaliwa kabla ya wakati maarufu kama Njiti (Hawapo pichani). Kushoto ni DoriS Mollel ambaye ni Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation (DMF) na wengine ni maafisa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili. (Picha zote na Andrew Chale,Modewjiblog).

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[DAR ES SALAAM] Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Doris Mollel Foundation (DMF) yaandaa tamasha kubwa la kusaidia watoto Njiti nchini, Nov 8 Leaders Club

DSC_0027

Mwenyekiti wa Mfuko wa Doris Mollel Foundation, Bi. Doris Mollel akiwakaribisha wageni mbalimbali na wanahabari wakati wa utambulisho maalum juu ya tamasha linalotarajiwa kufanyika siku ya Jumapili Novemba 8, katika viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni  Kaimu Mkurugenzi Mkuu Idara ya Afya, uzazi na watoto,  Bi. Georgina Msemo na kulia kwake ni Dk. Sonal Peter  ambaye ni daktari wa watoto (Pediatrician) kutoka Hospitali ya Agha Khan. (Picha zote na Andrew Chale,...

 

5 years ago

Michuzi

Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation yachangia Shilingi Billion 2 kusaidia juhudi za serikali kupambana na COVID - 19

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (Wapili kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi bilioni 2 leo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh Ummy Mwalimu (Wa nne toka kulia), ili kusaidia juhudi za serikali katika kupambana na ugonjwa wa COVID-19 (Corona). Wengine ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania PLC, Magreth Ikongo ( Watatu kulia),Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC na Vodacom Foundation, Rosalynn...

 

10 years ago

Michuzi

DORIS MOLLEL ACHANGIA VIFAA VYA KUPUMULIA KWENYE WODI YA WATOTO NJITI SINGIDA KWA USHIRIKIANO NA MANIFESTER BRAND

Na mwandishi wetu, Singida.
Katika kuianza safari yake ya huduma za jamii kwa mwaka 2015, Redds Miss Kanda ya kati 2014-2015 Doris Mollel ametoa msaada wa mashine 2 za kupumulia kwenye hospitali ya mkoa wa Singida zenye thamani ya Tsh 1,200,000/=. Mashine hizo huwasaidia watoto waliozaliwa kabla ya muda wa kawaida (Pre-mature babies) katika mfumo wao wa upumuaji ambao huhitaji msaada wa juu zaidi mara tu wanapozaliwa.
Doris ambaye pia ni mshindi wa tatu wa Redds Miss Tanzania 2014 ni...

 

10 years ago

Michuzi

Doris Mollel Foundation yazinduliwa jijini Dar

Na Chalila Kibuda ,Globu ya JamiiTATIZO la Vifo vya watoto njiti limezidi kukua kutokana na kukosekana  kwa vitendea kazi katika vituo vya kutolea hudum za afya.
Hayo ameyasema, Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mohamed Thabit Kombo wakati wa kutambulisha Mfuko wa Doris Mollel ambao  utajihusisha katika kusaidia upatikanaji wa vitendea kazi vya hospitali  kwa watoto wanaozaliwa njiti iliyofanyika  katika ukumbi wa Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.amesema atatoa...

 

9 years ago

Dewji Blog

DORIS MOLLEL FOUNDATION: Yakabidhi vitabu 200 kwa Shule ya Msingi Midamigha Ilongero SINGIDA

unnamedMwalimu wa taaluma wa shule Msingi Midamigha Ilongero, Singida akipokea vitabu hivyo kutoka taasisi ya Dmf wakati wa kukabidhi vitabu hivyo.

[SINGIDA] Taasisi inayoshughulikia na utetezi wa watoto njiti ya Doris Mollel ‘DORIS MOLLEL FOUNDATION’(Dmf)  mwishoni mwa wiki imekabidhi vitabu 200 kwa ajili ya kujifunzia  katika shule ya msingi Midamigha ilongero, singida.

Vitabu hivyo vitakuwa chachu na changamoto kwa wanafunzi wa shule hiyo ambapo watapata furasa za kujifunza mambo mbalimbali...

 

10 years ago

Michuzi

DORIS MOLLEL KATIKA UZINDUZI WA BWENI LA KWANZA KWA WATOTO WA JAMII YA HADZABE, SINGIDA

Balozi wa Wahadzabe na Miss Singida Kanda ya Kati 2014/1,Doris Mollel (wa pili kushoto) akiongea na waandishi wa habari wakati alipohudhuria kwenye hafla ya ufunguzi wa bweni jipya maalum kwa watoto wa jamiii ya hadzabe katika shule ya msingi Munguli, wilaya ya Mkarama mkoani Singida. Uzinduzi wa bweni hili ni matunda ya jitihada za Serikali ya wilaya hiyo na mkoa wa Singida kuwahamasisha watoto hao kuhudhuria madarasa bila kukosa na kujifunza maisha ya kawaida kama watoto wa jamii nyingine....

 

10 years ago

Dewji Blog

Miss Singida 2014 Dorice Mollel atoa msaada wa vifaa tiba kwa wodi ya watoto njiti

DSC03176

Miss Singida 2014 Dorice Mollel akizungumza muda mfupi kabla ya kukabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 1.2 milioni kwenye wodi ya watoto njiti ya hospitali ya mkoa mjini Singida. Miss Singida huyo ambaye mwaka jana alikuwa pia mshindi wa kwanza Miss kanda ya kati na kushika nafasi ya tatu katika shindano la kumsaka Miss Tanzania, amesema ametoa msaada huo kwa sababu na yeye alizaliwa mapacha njiti.

Na Nathaniel Limu, Singida

JUMLA ya watoto 284 hadi 300, huzaliwa kila...

 

10 years ago

GPL

MISS SINGIDA 2014 DORICE MOLLEL ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WODI YA WATOTO NJITI‏

Miss Singida 2014 Dorice Mollel akizungumza muda mfupi kabla ya kukabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 1.2 milioni kwenye wodi ya watoto njiti ya hospitali ya mkoa mjini Singida. Miss Singida huyo ambaye mwaka jana alikuwa pia mshindi wa kwanza Miss kanda ya kati na kushika nafasi ya tatu katika shindano la kumsaka Miss Tanzania, amesema ametoa msaada huo kwa sababu na yeye alizaliwa mapacha njiti.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani