Miss Ilala 2013 Doris Mollel akabidhi vitabu 50 shule ya msingi Pugu Dar
Miss Ilala 2013, Doris Mollel ijumaa ya wiki iliyopita alitembelea shule ya msingi Pugu jijini Dar es Salaam na kukabidhi vitabu 50 za hadithi kwa wanafunzi wa shule hiyo katika harakati zake binafsi za kuwajengea wanafunzi na watoto utamaduni na tabia ya kujisomea kwenye umri mdogo.
Miss Ilala huyo wa mwaka 2013 alitumia nafasi hiyo kuwahamasisha wanafunzi kujisomea kama ufunguo wa maisha yao ya baadaye.
Miss Ilala 2013, Doris Mollel, akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembea shule...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi21 Nov
MISS CENTRAL ZONE 2014 DORIS MOLLEL ACHANGIA VITABU SHULE YA MSINGI MPUNGUZI, DODOMA
![1](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/110.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
Doris Mollel achangia vitabu shule ya Msingi Mpunguzi, Dodoma kwa ushirikiano na Mak Solutions Ltd
Doris Mollel akikabidhiwa vitabu 200 na mkurugenzi wa MAK Solutions Bi Meetal Kirubakaran. Vitabu hivyo vilikabidhiwa kwa shule ya msingi Mpunguzi iliyopo Dodoma kama mchango wa kuadhimisha siku ya watoto duniani.(Picha zote na Albert Manifester).
Dodoma, Novemba 2014.
Katika kuadhimisha siku ya watoto duniani inayofanyika tarehe 20 Novemba kila mwaka, Mrembo wa Redds Miss central Zone 2014 Doris Mollel amechangia Vitabu vyenye thamani ya Shilingi Milioni moja (1,000,000/=) katika shule ya...
9 years ago
Dewji Blog28 Sep
DORIS MOLLEL FOUNDATION: Yakabidhi vitabu 200 kwa Shule ya Msingi Midamigha Ilongero SINGIDA
Mwalimu wa taaluma wa shule Msingi Midamigha Ilongero, Singida akipokea vitabu hivyo kutoka taasisi ya Dmf wakati wa kukabidhi vitabu hivyo.
[SINGIDA] Taasisi inayoshughulikia na utetezi wa watoto njiti ya Doris Mollel ‘DORIS MOLLEL FOUNDATION’(Dmf) mwishoni mwa wiki imekabidhi vitabu 200 kwa ajili ya kujifunzia katika shule ya msingi Midamigha ilongero, singida.
Vitabu hivyo vitakuwa chachu na changamoto kwa wanafunzi wa shule hiyo ambapo watapata furasa za kujifunza mambo mbalimbali...
10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Miss Ilala 2013 Dorice Mollel atembelea kampuni ya RIELA Ujerumani
Bw. Karl Heinz Knoop akielezea historia fupi kuhusu kampuni yake kwa wanafunzi wa Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere akiwemo Miss Ilala 2013 Dorice Mollel wanaoshiriki program ya mwezi mmoja nchini Ujerumani.
Miss Ilala 2013 Dorice Mollel (kushoto pichani) akiwa kwenye program ya mwezi mmoja, na wenzake 8 kutoka Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere ambapo wamepata nafasi ya kwenda kutembelea Kiwanda cha Kilimo kilichoanzishwa mwaka 1972 ambacho kinamilikiwa na Bw. Karl Heinz Knoop ,...
10 years ago
Michuzi14 Aug
MISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL ATEMBELEA KAMPUNI YA KUTENGENEZA UMEME WA GESI NA KUTUNZA MAZAO RIELA NCHINI UJERUMANI
![photo](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/photo.jpg)
Miss Ilala 2013 Dorice Mollel (kushoto pichani) akiwa kwenye program ya mwezi mmoja, na wenzake 8 kutoka Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere ambapo wamepata nafasi ya kwenda kutembelea Kiwanda cha Kilimo kilichoanzishwa mwaka 1972 ambacho kinamilikiwa na Bw. Karl Heinz Knoop...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/photo.jpg?width=650)
MISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL ATEMBELEA KAMPUNI YA KUTENGENEZA UMEME WA GESI NA KUTUNZA MAZAO RIELA NCHINI UJERUMANI
10 years ago
GPLMISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AKABIDHI MSAADA KWA WASICHANA WA SHULE YA MSINGI MSIMBAZI MSETO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oibWxPrRM7s/VYvizWvbRJI/AAAAAAAHj5M/XmTVcITNf4Q/s72-c/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AKABIDHI MSAADA NA KUTOA ELIMU YA AFYA KWA WATOTO WA KIKE WA SHULE YA MSINGI MSIMBAZI MSETO
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-asfai_xbig8/VQw8yi_MFtI/AAAAAAAHLrc/tYNadzLI4Ac/s72-c/DSC_0289.jpg)
Doris Mollel Foundation yazinduliwa jijini Dar
Hayo ameyasema, Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mohamed Thabit Kombo wakati wa kutambulisha Mfuko wa Doris Mollel ambao utajihusisha katika kusaidia upatikanaji wa vitendea kazi vya hospitali kwa watoto wanaozaliwa njiti iliyofanyika katika ukumbi wa Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.amesema atatoa...