MTOTO WA KIKE ABURUZWA NA BABA YAKE MTAA MZIMA KWENYE PIKIPIKI KWA KUTOKWENDA SHULE
Mtoto Anastazia Jumanne akiwa amefungwa
mikono yake kwenye pikipiki kwa mpira
Na Valence Robert-Geita
Mtoto Anastazia Jumanne (12) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi katika wilaya na mkoa wa Geita amefanyiwa ukatili wa kutisha baada kufungwa mpira kwenye pikipiki na baba yake mzazi na kisha kuanza kumburuza mtaani.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea jana majira ya sa tatu asubuhi katika moja ya mitaa ya mjini humo ambapo inadaiwa kuwa binti huyo anayesoma darasa la nne katika shule...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMPIGANAJI WA MTAA KWA MTAA BLOG,MR. PENGO WA MBEYA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
5 years ago
CCM BlogMTOTO WA MIAKA 17 MIKONONI MWA POLISI KWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAKE
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, alidai kuwa Mei 31, saa 12 alfajiri Kitongoji cha Manyani, Kata ya Mkalama wilayani Gairo, mtu aliyejulikana kwa jina la Issaya Lameck (41), maarufu kama Kusaganika, fundi Muwashi, aliuawa kwa kupigwa na mtoto wake mwenye miaka 17 (jina linahifadhiwa kwa sababu za kimaadili).
Kamanda Mutafungwa...
11 years ago
Bongo501 Aug
Video: Mama amtuma mtoto kwa baba yake kwa kumfunga kama kifurushi (parcel)
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-HHw7P_B8MaI/UsqT9p7-g8I/AAAAAAAFE-E/yM_qMszmEJY/s1600/1.jpg?width=640)
MTOTO AUAWA NA BABA YAKE KWA KUPIGWA NGUMI MKOANI MBEYA
9 years ago
Bongo528 Aug
Mwanangu alifukuzwa shule kwa kumpiga mwenzie aliyemtania baba yake ni teja — Q Chief
10 years ago
GPLMTOTO WA CHRISTIANO RONALDO AONYESHA KIWANGO KWA KUUCHEZEA MPIRA KAMA BABA YAKE
10 years ago
Bongo505 Nov
Video: Abba Marcus (mtoto wa Jose Chameleone) akipagawisha mashabiki kwa kulishambulia jukwaa na baba yake
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/01/IMG_5069.jpg)
SHULE YA SEKONDARI LOYOLA YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8S0jEm1rIQO065gQRUrKqBABfvIjJ8lL1Bh22Dqn0J4MG4Fm3adSZqRYyFPeJkJ-x0K8xsqGPiK2x0WBh2VcfTj/31225madalinadianagheneasexy.jpg?width=650)
UMEWAMALIZA MTAA MZIMA, NANI AKUOE?