Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHULE YA SEKONDARI LOYOLA YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE‏

Sehemu ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Shuleni hapo. Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Shuleni hapo. Mgeni rasmi wa na Mwakilishi kutoka Kituo cha Maendeleo ya Uchumi, Rukia Shauri akikata keki maalumu ya kuchangisha… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY‏

 Kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambao pia ni watengenezaji wa Pads za Glory, Katikati ni Mlezi wa wanafunzi Hilda Minja na Sara Mugele ambaye ni Dean of students  Shule ya Sekondari ya St. Anthony.  Daktari Edna Kiogwe akieleza juu ya umuhimu wa elimu ya Hedhi kwa jamii nzima wakati wa semina na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony. Mkurugenzi… ...

 

10 years ago

Habarileo

Tamwa kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike

CHAMA cha Wanahabari Wanawake (Tamwa) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) na mashirika mengine yasiyo ya kiserikali kitaadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike duniani kwa kufanya mjadala mpana juu ya kukomesha ndoa za utotoni hapa Tanzania.

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KWA KUTUMIA AKAUNTI YA JUNIOR JUMBO

Na Mwandishi Wetu
Benki ya CRDB imetoa misaada mbalimbali kwa watoto wasiojiweza katika kituo cha Msimbazi centre.
Hatua hiyo imetokana na maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika yenye kauli mbiu ya elimu bora kwa wote.


Akizungumza Jana jijini Dar es salaam Meneja wa benki hiyo Tawi la Premier, Fabiola Mussula, alisema kuwa benki hiyo imeadhimisha siku ya mtoto  wa Afrika kwa kupitia akaunti ya Junior Jumbo.


Alisema kuwa akaunti ya mtoto  humsaidia mzazi kuhakikisha anahifadhi ada na...

 

9 years ago

GPL

TAMASHA LA MTOTO KIKE LAFANA, LATOA KAULI NZITO‏

Mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Kike Duniani Mkurugenzi wa watoto kutoka Wizara ya Jamii, Jinsia na Watoto Bi. Margaret Sawe Mussai akiwaasa watoto wa kike kuzingatia elimu kwani ndio nguzo ya msingi katika maisha yao wakati w siku ya Mtoto wa Kike Duniani iliyofanyika katika viwanja vya shule ya Tandale jijini Dar. (Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog). Na Mwandishi wetu WAKATI serikali imekiri kwamba...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB TAWI LA MLIMANI CITY YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA NA JUMBO JUNIOR ACCOUNT

Keki iliyoandaliwa na wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika.Watoto Halima Revocatus (7) na Filex Mustach (6) wakikata keki wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto Afrika yaliyofanyika katika tawi la Benki ya CRDB Mlimani City jijini Dar es Salaam, Benki ya CRDB uadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika kila mwaka. Ujumbe wa mwaka huu ni Timiza Ndoto Yako na Junior Jumbo Account. Nyuma ya watoto hao ni Naibu Mkurugenzi Uendeshaji na Huduma...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU SHULE ZA SEKONDARI MBEYA‏

Ofisa Masoko wa kampuni ya simu ya Airtel Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jonas Mmbaga, akionesha vitabu kabla ya kumkabidhi mkuu wa shule ya Sekondari ya  Mbeya, Magreth Haule (kushoto) wakati walipofika shuleni hapo kutoa msaada wa vitabu vya masomo mbalimbali kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mbeya iliyopo jijini na Mkoa wa Mbeya, Magreth Haule (kushoto)… ...

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA KIKE ABURUZWA NA BABA YAKE MTAA MZIMA KWENYE PIKIPIKI KWA KUTOKWENDA SHULE


Mtoto Anastazia Jumanne akiwa amefungwa  mikono yake kwenye pikipiki kwa mpira
Na Valence Robert-Geita
Mtoto Anastazia Jumanne (12) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi katika wilaya na mkoa wa Geita amefanyiwa ukatili wa kutisha baada kufungwa mpira kwenye pikipiki na baba yake mzazi na kisha kuanza kumburuza mtaani. Tukio hilo la kusikitisha limetokea jana majira ya sa tatu asubuhi katika moja ya mitaa ya mjini humo ambapo inadaiwa kuwa binti huyo anayesoma darasa la nne katika shule...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani