Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamwa kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike

CHAMA cha Wanahabari Wanawake (Tamwa) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) na mashirika mengine yasiyo ya kiserikali kitaadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike duniani kwa kufanya mjadala mpana juu ya kukomesha ndoa za utotoni hapa Tanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

HALMASHAURI NA WADAU WA JIJI LA MWANZA WAANZA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA KUADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA JUNI 16

Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi inayoundwa na wadau wa watoto jijini Mwanza Bw. Godfrey Salumu akifafanua utaratibu mzima wa utendaji kazi wa kamati ndogo ndogo zilizoundwa kwa wajumbe (hawapo pichani) ili kuweza kufanikisha maadhimisho hayo. Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya jiji la Mwanza Bi Eluminata Mwita akisikiliza jambo kwa makini toka kwa wajumbe (hawapo pichani). Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wanawake na Wasichana, KIVULINI Bw Ramadhani Masele (kushoto)...

 

11 years ago

GPL

SHULE YA SEKONDARI LOYOLA YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE‏

Sehemu ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Shuleni hapo. Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Shuleni hapo. Mgeni rasmi wa na Mwakilishi kutoka Kituo cha Maendeleo ya Uchumi, Rukia Shauri akikata keki maalumu ya kuchangisha… ...

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike yaliyo ratibiwa na WiLDAF yafana jijini Dar es salaam

Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mtoto wa kike yaliyo ratibiwa na Women in Law and Development in Africa - WiLDAF yafana jijini Dar es salaam.
Octoba 11 ya kila mwaka ni siku iliyopitishwa na Baraza kuu la Umoja wa Mataifa kuwa Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike duniani kote. Maadhimisho haya yalifanyika katika Hoteli ya Double Tree, Dar es Salaam.Washiriki wa maadhimisho hayo wakiwa katika picha ya pamoja.Mmoja wa washiriki waliofika kwenye hafla hiyo ya maadhimisho ya siku ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Tamwa yalaani mtoto wa miaka minne kubakwa

Kitendo cha kikatili ambacho inadaiwa kilifanywa na mkazi mmoja wa Mbezi kwa Msuguri mjini hapa cha kumlawiti mtoto wa miaka minne, kimeendelea kulaaniwa na taasisi tofauti.

 

10 years ago

Vijimambo

MPENZI WA MR NICE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE, NICE ASEMA NDO MTOTO WAKE WA MWISHO

Mpenzi wa mwanzilishi wa style ya ‘Takeu’ Lucas Mkenda aka Mr Nice, amejifungua mtoto wa kike na kupewa jina la Nicole.
Mr Nice ambaye ni baba wa watoto wawili kwa sasa, Collin na Nicole, ameiambia Bongo5 kuwa Nicole ni mtoto wake wa mwisho ili aweze kuwatengezea maisha mazuri.“Sasa hivi ni uzazi wa mpango, huyu kwangu ndo mtoto wa mwisho, kuzaa tu kama mbwa itakuwaje? mwishowe utashindwa kuwatengenezea maisha mazuri,” alisema Nice.

 

10 years ago

Habarileo

UN kuadhimisha siku ya utumwa

Ofisa Habari wa UN, Stella VuzoUMOJA wa Mataifa leo unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Waathirika wa Utumwa na Biashara ya Utumwa kupitia Bahari ya Atlantiki.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania kuadhimisha siku ya msanii

RISHO mPOTOZ

Kushoto ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), na Katikati ni msanii nguli wa kughani mashairi nchini Mrisho Mpoto.(Picha na Maktaba).

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO

Mfuko wa Pensheni (PSPF) umedhamini siku ya Msanii Tanazania itayoadhimishwa Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City kwa dhumuni la kuwapa mafunzo wasanii ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Akizungumza na waandishi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania kuadhimisha Siku ya Moyo leo

WATANZANIA wameombwa kuongeza uelewa kuhusu magonjwa ya moyo, wanapoadhimisha Siku ya Moyo Duniani leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani