Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania kuadhimisha Siku ya Moyo leo

WATANZANIA wameombwa kuongeza uelewa kuhusu magonjwa ya moyo, wanapoadhimisha Siku ya Moyo Duniani leo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa NBC waadhimisha Siku ya Moyo Duniani kuchangisha fedha kusaidia vijana na watoto wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakianza matembezi ya hisani ya takribani Kilomita 10 jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni moja ya matukio ya benki hiyo kudhimisha Siku ya Moyo Duniani ambapo kiasi cha pesa watakachochangisha kitapelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kusaidia watoto na vijana wanaosumbuliwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo. Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa kimataifa Septemba 29 kila mwaka. Hapa baadhi ya wafanyakazi hao wakipita katika...

 

10 years ago

CCM Blog

ZIKIWA ZIMEBAKIA SIKU 6 TU WATANZANIA WAPIGE KURA MAGUFULI AHUTUBIA MIKUTANO 16 LEO

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli leo amehutubia jumla ya mikutano 16 ambapo miwili tu ndio iliyokuwa rasmi,alihutubia Kamanga,Nyamatongo,Katunguru,Kasenyi,Nyamazongo,Luchili,Bukokwa, Kalebezo,Nyehunge(mkutano rasmi), Wezera,Nzera,Nkome (mkutano rasmi)Sungusila,Igate,Kasota na Bugurula.
Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Jimbo la Buchosa kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Nyehunge, wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza...

 

10 years ago

Habarileo

UN kuadhimisha siku ya utumwa

Ofisa Habari wa UN, Stella VuzoUMOJA wa Mataifa leo unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Waathirika wa Utumwa na Biashara ya Utumwa kupitia Bahari ya Atlantiki.

 

11 years ago

Dewji Blog

Tanzania kuadhimisha siku ya msanii

RISHO mPOTOZ

Kushoto ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), na Katikati ni msanii nguli wa kughani mashairi nchini Mrisho Mpoto.(Picha na Maktaba).

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO

Mfuko wa Pensheni (PSPF) umedhamini siku ya Msanii Tanazania itayoadhimishwa Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City kwa dhumuni la kuwapa mafunzo wasanii ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Akizungumza na waandishi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kuadhimisha Siku ya APRM Afrika

Na Mwandishi Wetu
Machi 9 mwaka huu Tanzania itaungana na nchi nyingine za Afrika wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) kuadhimisha siku ya APRM barani humu.
Akizungumza na gazeti hili Dar es Salaam jana, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa APRM Tanzania, Hassan Abbas alisema azimio la kusherehekea Siku ya APRM lilipitishwa Januari mwaka jana katika kikao cha Wakuu wa Nchi za APRM kilichofanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia.
“Kikao cha Wakuu wa Nchi za APRM...

 

11 years ago

Habarileo

Tamwa kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike

CHAMA cha Wanahabari Wanawake (Tamwa) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) na mashirika mengine yasiyo ya kiserikali kitaadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike duniani kwa kufanya mjadala mpana juu ya kukomesha ndoa za utotoni hapa Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanini kuadhimisha Siku ya Wanawake nusu utupu?

DUNIA imekuwa ikiadhimisha Siku ya Wanawake ambayo hufanyika Machi 8 ya kila mwaka. Siku hiyo imekuwa ikiadhimishwa kwa shughuli mbalimbali zinazowahusu wanawake moja kwa moja katika nyanja tofauti. Safari hii...

 

11 years ago

Mwananchi

Wilaya ya Tanga walivyojipanga kuadhimisha Siku ya Wanawake

Siku ya Wanawake Duniani huadhimishwa kila inapofika Machi 8 kila mwaka kwa lengo la kutathmini maisha ya mwanamke na nini cha kufanya ili aweze kuendelea kuyafurahia maisha.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUADHIMISHA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA.

  Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Idd Ramadhan Mapuri akiwasalimia wazee na watetezi wa haki za binadamu (hawapo pichani) wakati wa semina juu ya haki za wazee mapema hii leo jijini Dar es Saam. Baadhi ya wazee na watetezi wa haki za binadamu walioshiriki semina elekezi juu ya haki za wazee wakimsikiliza kwa makini Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Mary Massay wakati akitoa neno la ufunguzi mapema hii leo jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani