ZIKIWA ZIMEBAKIA SIKU 6 TU WATANZANIA WAPIGE KURA MAGUFULI AHUTUBIA MIKUTANO 16 LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-l8wP1bfxC9Q/ViUNud8pjnI/AAAAAAAAqMU/p7s0OrFYqag/s72-c/9.jpg)
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli leo amehutubia jumla ya mikutano 16 ambapo miwili tu ndio iliyokuwa rasmi,alihutubia Kamanga,Nyamatongo,Katunguru,Kasenyi,Nyamazongo,Luchili,Bukokwa, Kalebezo,Nyehunge(mkutano rasmi), Wezera,Nzera,Nkome (mkutano rasmi)Sungusila,Igate,Kasota na Bugurula. Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Jimbo la Buchosa kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Nyehunge, wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-fIUJFWJc9Ik/ViUOUgiHT5I/AAAAAAAAqNM/QpncSeylljA/s72-c/2.jpg)
MAGUFULI AHUTUBIA MIKUTANO 16 GEITA
![](http://4.bp.blogspot.com/-fIUJFWJc9Ik/ViUOUgiHT5I/AAAAAAAAqNM/QpncSeylljA/s640/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-OzeJgPtZMFc/ViUOTw9nxVI/AAAAAAAAqNE/gtJ8OlwZO2U/s640/4.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-xG55oK06wP4/ViZvbwaIcBI/AAAAAAADBN4/zjv9cS6vnXE/s72-c/_MG_7954.jpg)
ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU TANO,MAGUFULI AENDELEA KUITIKISA KANDA YA ZIWA,AFANYA MIKUTANNO YA KAMPENI GEITA VIJIJINI,NYANG'WALE NA SENGEREMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-xG55oK06wP4/ViZvbwaIcBI/AAAAAAADBN4/zjv9cS6vnXE/s640/_MG_7954.jpg)
Mgombea Urais kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Sengerema jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini humo.Katika mkutano huo wa kampeni Dkt Magufuli amezishauri halmashauri nchini kuacha tabia ya kukopa pesa kutoka katika taasisis za kifedha na kulipia fidia za wananchi ambao serikali inataka kutumia maeneo yao kwa ajili ya huduma za kijamii.
Akiomba kura katika wilaya mpya ya Nyang'wale mkoani Geita,Dkt Magufuli ametumia jukwaa...
9 years ago
MichuziPINDA AHUTUBIA MIKUTANO YA KAMPENI ZA CCM KALAMBO
KWA PICHA ZAIDI BOFYA...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Bd_b8VT1dhU/Vh_UpZPNvQI/AAAAAAADA9o/ZIl07kYZWe8/s72-c/13.jpg)
MAGUFULI AHUTUBIA KISIWANI PEMBA LEO,AAHIDI KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZOTE.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Bd_b8VT1dhU/Vh_UpZPNvQI/AAAAAAADA9o/ZIl07kYZWe8/s640/13.jpg)
Katika mkutano huo wa Kampeni,Dkt Magufuli ameahidi kuwa akichaguliwa kuwa Rais wa awamu ya tano,atadumisha na kuulinda Muungano wa Zanzibar na Tanganyika ulioanzishwa na Waasisi wetu akiwemo Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere pamoja na Abeid...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-JdqOtFV3JW0/Vh9lb0pkfaI/AAAAAAADA6c/_j9wLI2wt1E/s72-c/_MG_5886.jpg)
DKT MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE LEO, AHUTUBIA KISARAWE,UKONGA NA BAADAE KUHUTUBIA PEMBA
![](http://2.bp.blogspot.com/-JdqOtFV3JW0/Vh9lb0pkfaI/AAAAAAADA6c/_j9wLI2wt1E/s640/_MG_5886.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-gQOJpNpPUOE/Vh9lh5MyfzI/AAAAAAADA6k/K_NCxqlx2ok/s640/_MG_5891.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-JdqOtFV3JW0/Vh9lb0pkfaI/AAAAAAADA6c/_j9wLI2wt1E/s72-c/_MG_5886.jpg)
DKT MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE LEO, AHUTUBIA KISARAWE,UKONGA NA BAADAE KUHUTUBIA PEMBA
![](http://2.bp.blogspot.com/-JdqOtFV3JW0/Vh9lb0pkfaI/AAAAAAADA6c/_j9wLI2wt1E/s640/_MG_5886.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-gQOJpNpPUOE/Vh9lh5MyfzI/AAAAAAADA6k/K_NCxqlx2ok/s640/_MG_5891.jpg)
10 years ago
Vijimambo11 Dec
HABARI NJEMA, WATANZANIA TUSICHOKE KUPIGA KURA ZIMEBAKI SIKU CHACHE #Happiness4MissWorld
![10614252_800789863300579_6044778737800766960_n](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/10614252_800789863300579_6044778737800766960_n.jpg)
![10846445_10152970401239974_5092824672817370692_n](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/10846445_10152970401239974_5092824672817370692_n.png)
9 years ago
Dewji Blog12 Sep
Magufuli afanya mikutano ya kampeni wilaya ya Busega, Bariadi, Itilima na Meatu mkoani Simiyu leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-iqXx2pRy-Ic/VfRTOROsT0I/AAAAAAAC-_Y/09YaRt-ahLg/s640/_MG_5380.jpg)
PICHA NA MICHUZI JR-SIMIYU.
![](http://2.bp.blogspot.com/-J1QhDO8-PnM/VfRTPKno0oI/AAAAAAAC-_c/0DLC9ltsSho/s640/_MG_5388.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lICaxF9zQvI/VfRTQPMEtMI/AAAAAAAC-_o/QAxxq73Xk9E/s640/_MG_5408.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9b41xl7m9-w/VfRTRAOa-tI/AAAAAAAC-_s/BtKZW61FfEA/s640/_MG_5454.jpg)