ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU TANO,MAGUFULI AENDELEA KUITIKISA KANDA YA ZIWA,AFANYA MIKUTANNO YA KAMPENI GEITA VIJIJINI,NYANG'WALE NA SENGEREMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-xG55oK06wP4/ViZvbwaIcBI/AAAAAAADBN4/zjv9cS6vnXE/s72-c/_MG_7954.jpg)
Mgombea Urais kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Sengerema jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini humo.Katika mkutano huo wa kampeni Dkt Magufuli amezishauri halmashauri nchini kuacha tabia ya kukopa pesa kutoka katika taasisis za kifedha na kulipia fidia za wananchi ambao serikali inataka kutumia maeneo yao kwa ajili ya huduma za kijamii.
Akiomba kura katika wilaya mpya ya Nyang'wale mkoani Geita,Dkt Magufuli ametumia jukwaa...
Vijimambo