Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA KUADHIMISHA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA.

  Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Idd Ramadhan Mapuri akiwasalimia wazee na watetezi wa haki za binadamu (hawapo pichani) wakati wa semina juu ya haki za wazee mapema hii leo jijini Dar es Saam. Baadhi ya wazee na watetezi wa haki za binadamu walioshiriki semina elekezi juu ya haki za wazee wakimsikiliza kwa makini Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Mary Massay wakati akitoa neno la ufunguzi mapema hii leo jijini Dar es...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YAADHIMISHA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA JIJINI ARUSHA

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mariado na walimu iliyopo Usa River ,wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wakiwa katika picha ya pamoja waliposhiriki maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu barani Afrika katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu iliyofanyika Oktoba 21 na kudai haki za wenye ulemavu wa ngozi(Ualibino) kulindwa kama wananchi wengine
Mwanafunzi Kelvin wa shule ya Mariado akiimba wimbo Umoja wa Afrika(AU)ambao ni maalumu wakati wa shughuli za umoja huo zinapofanyika.
Kamishna wa Tume...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kuadhimisha Siku ya APRM Afrika

Na Mwandishi Wetu
Machi 9 mwaka huu Tanzania itaungana na nchi nyingine za Afrika wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) kuadhimisha siku ya APRM barani humu.
Akizungumza na gazeti hili Dar es Salaam jana, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa APRM Tanzania, Hassan Abbas alisema azimio la kusherehekea Siku ya APRM lilipitishwa Januari mwaka jana katika kikao cha Wakuu wa Nchi za APRM kilichofanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia.
“Kikao cha Wakuu wa Nchi za APRM...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE WA AFRIKA JULAI 31 KILA MWAKA






Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwa na mmoja wa Muasisi wa PAWO Bibi.Tecla Sumbo mara baada ya kufungua mkutano wa waasisi wa Umoja wa Jumuiya za Wanawake katika nchi huru za Afika (PAWO) tawi la Tanzania na Wizara uliolenga kutoa maoni yao katika uboreshaji wa Sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia uliofanyika leo jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza wakati mkutano na waasisi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za Binadamu na DIGNITY wafanya semina juu elimu kuhusu haki za binadamu!!

DSC_1095

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akielezea mambo mbalimbali katika semina hiyo. kulia kwake ni afisa kutoka DIGNITY, Bi. Brenda Van Den Bergh. (Picha zote na Mpiga picha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora).

Na Rabi Hume,Modewjiblog

Tume ya haki za binadamu na utawala bora ikishirikiana na Taasisi ya haki za binadamu kutoka Denmark (DIGNITY) wamefanya semina inayohusu haki za binadamu   kwa kutoa elimu kwa asasi mbalimbali kuhusu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Haki za Binadamu Afrika, kusikilizwa?

Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu itajadili suala la nchi za Afrika kuikubali mahakama hiyo ifanye kazi zake ipasavyo.

 

9 years ago

Habarileo

Afrika yatakiwa kuridhia itifaki haki za binadamu

RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(ACHPR), Jaji Augustino Ramadhani amewataka wabunge barani Afrika kuzishinikiza nchi zao kuridhia itifaki ya haki za binadamu iliyokubaliwa miaka 18 iliyopita.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA UJERUMANI AVUTIWA NA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU

 Rais wa Mahakama ya Afrika ya  Haki za Binadamu(AfCHPR)Jaji Augustino Ramadhani akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais wa Shirikisho la Ujerumani,Mheshimiwa Joachim Gauck leo jijini Arusha. Rais wa shirikisho la Ujerumani,Joachim Gauck akizungumza na wafanyakazi wa  Mahakama ya Afrika ya  Haki za Binadamu(AfCHPR)
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani,Philipo Sanka Marmo(katikati)akibadilishana mawazo na Afisa Habari Mwandamizi wa Mahakama ya  Afrika ya  Haki za Binadamu(AfCHPR) Bw. Sukhdev...

 

10 years ago

Habarileo

Jaji Ramadhani ataka Afrika kuzingatia haki za binadamu

RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) Jaji Augustino Ramadhani amezitaka nchi za Afrika kuzingatia zaidi masuala ya haki za binadamu kama kweli zinataka kupiga hatua za kiuchumi na kidemokrasia.

 

10 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR

 Blass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani  na Miaka 66 ya Tamko la Kimataifa la Haki za Binadamu. Maandamano hayo yaliyoanzia Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima hadi Makumbusho ya Taifa  Dar es Salaam leo asubuhi  yaliandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC).… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani