RAIS WA UJERUMANI AVUTIWA NA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU
Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Jaji Augustino Ramadhani akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais wa Shirikisho la Ujerumani,Mheshimiwa Joachim Gauck leo jijini Arusha. Rais wa shirikisho la Ujerumani,Joachim Gauck akizungumza na wafanyakazi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani,Philipo Sanka Marmo(katikati)akibadilishana mawazo na Afisa Habari Mwandamizi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR) Bw. Sukhdev...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YAADHIMISHA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA JIJINI ARUSHA
Mwanafunzi Kelvin wa shule ya Mariado akiimba wimbo Umoja wa Afrika(AU)ambao ni maalumu wakati wa shughuli za umoja huo zinapofanyika.
Kamishna wa Tume...
10 years ago
MichuziRAIS WA MAHAKAMA YA AFRIKA NA HAKI ZA BINADAMU AKUTANA MWAKILISHI WA FRANCOPHONIE ARUSHA
10 years ago
MichuziJK akutana na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu Ikulu jijini Dar es salaam leo
10 years ago
MichuziMAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YA AFRIKA YAWANOA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA
10 years ago
MichuziJAJI AUGUSTINO RAMADHAN AWA RAISI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU
Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imemteua Jaji mkuu mstaafu wa Tanzania Agustino Ramadhan kuwa rais wa mahakama hiyo kwa kipindi cha miaka miwili uteuzi huounaanza mara moja baada ya aliyekuwa rais wa mahakama hiyo Sophia Akuffo wa Ghana kumaliza muda wake.
Jaji Ramadhani Mtanzania wa kwanza kushikilia kiti hicho tangia kuanzishwa kwa mahakama hiyo baada ya kupata kura 7 kwa kura nne dhidi ya mpinzania wake katika nafasi hiyo ya rais wa mahakama hiyo huku nafasi...
10 years ago
MichuziMAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU(AfCHPR) YASIKILIZA KESI YA WATUHUMIWA 10 WA UJAMBAZI MOSHI
10 years ago
MichuziJAJI AUGUSTINO RAMADHANI AHIMIZA AFRIKA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU,AZITAKA NCHI ZAIDI KUTOA TAMKO LA KUITAMBUA MAHAKAMA HIYO
9 years ago
Bongo509 Nov
Babu Seya akimbilia mahakama ya haki za binadamu ya Arusha
Mwanamuziki mkongwe nchini, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya na mwanae, Johnson Nguza aka Papii Kocha, ameamua kwenda kutafuta msaada kwenye Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AFCPHR) ya Arusha.
Wanamuziki hao wamekata rufaa dhidi ya adhabu waliyohukumiwa mwaka 2004 ya kutumikia kifungo cha maisha gerezani. Kupitia shauri lao lililowasilishwa mahakamani na kupewa namba 006/ 2015, wanaiomba Mahakama ya Afrika kutoa uamuzi kuwa haki zao zilivunjwa.
Kwa sababu hiyo wanaomba waachiwe...
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Tume ya Haki za Binadamu na DIGNITY wafanya semina juu elimu kuhusu haki za binadamu!!
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akielezea mambo mbalimbali katika semina hiyo. kulia kwake ni afisa kutoka DIGNITY, Bi. Brenda Van Den Bergh. (Picha zote na Mpiga picha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora).
Na Rabi Hume,Modewjiblog
Tume ya haki za binadamu na utawala bora ikishirikiana na Taasisi ya haki za binadamu kutoka Denmark (DIGNITY) wamefanya semina inayohusu haki za binadamu kwa kutoa elimu kwa asasi mbalimbali kuhusu...