RAIS WA MAHAKAMA YA AFRIKA NA HAKI ZA BINADAMU AKUTANA MWAKILISHI WA FRANCOPHONIE ARUSHA
.jpg)
Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Jaji Augustino Ramadhani(kushoto) akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Mwakilishi Mkazi wa taasisi ya kimataifa “La Francophonie” katika Umoja wa Afrika(AU)yenye makao yake Addis Ababa,Ethiopia,Cecile Folchini kwenye ofisi za Mahakama ya Afrika jijini Arusha leo.
Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Jaji Augustino Ramadhani(wa pili kulia)akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Mwakilishi Mkazi wa taasisi ya kimataifa “La...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YAADHIMISHA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA JIJINI ARUSHA



10 years ago
Michuzi.jpg)
JK akutana na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu Ikulu jijini Dar es salaam leo
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi.jpg)
MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YA AFRIKA YAWANOA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi.jpg)
RAIS WA UJERUMANI AVUTIWA NA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU
.jpg)
.jpg)
.jpg)
9 years ago
Bongo509 Nov
Babu Seya akimbilia mahakama ya haki za binadamu ya Arusha

Mwanamuziki mkongwe nchini, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya na mwanae, Johnson Nguza aka Papii Kocha, ameamua kwenda kutafuta msaada kwenye Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AFCPHR) ya Arusha.
Wanamuziki hao wamekata rufaa dhidi ya adhabu waliyohukumiwa mwaka 2004 ya kutumikia kifungo cha maisha gerezani. Kupitia shauri lao lililowasilishwa mahakamani na kupewa namba 006/ 2015, wanaiomba Mahakama ya Afrika kutoa uamuzi kuwa haki zao zilivunjwa.
Kwa sababu hiyo wanaomba waachiwe...
11 years ago
Michuzi
JAJI AUGUSTINO RAMADHAN AWA RAISI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU

Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imemteua Jaji mkuu mstaafu wa Tanzania Agustino Ramadhan kuwa rais wa mahakama hiyo kwa kipindi cha miaka miwili uteuzi huounaanza mara moja baada ya aliyekuwa rais wa mahakama hiyo Sophia Akuffo wa Ghana kumaliza muda wake.
Jaji Ramadhani Mtanzania wa kwanza kushikilia kiti hicho tangia kuanzishwa kwa mahakama hiyo baada ya kupata kura 7 kwa kura nne dhidi ya mpinzania wake katika nafasi hiyo ya rais wa mahakama hiyo huku nafasi...
10 years ago
Michuzi
MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU(AfCHPR) YASIKILIZA KESI YA WATUHUMIWA 10 WA UJAMBAZI MOSHI


10 years ago
Michuzi
JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AHIMIZA AFRIKA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU,AZITAKA NCHI ZAIDI KUTOA TAMKO LA KUITAMBUA MAHAKAMA HIYO


10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAZIRI WA NCHI MAENDELEO NA FRANCOPHONIE WA UFARANSA NA UJUMBE WAKE, LEO