Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAZIRI WA NCHI MAENDELEO NA FRANCOPHONIE WA UFARANSA NA UJUMBE WAKE, LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Ofisini kwake Waziri wa Nchi Maendeleo na Francophonie wa Ufaransa Mhe. Annick Girardin, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo April 09, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Nchi Maendeleo na Francophonie wa Ufaransa Mhe. Annick Girardin aliyeongoza ujumbe wa watu tisa, wakati alipofika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AMKARIBISHA MAKAMU WA RAIS WA CHINA NA UJUMBE WAKE IKULU DAR LEO, WASAINI MIKATABA

 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara (kulia) akisainiana mkataba na Naibu Waziri wa Wizara ya Biashara ya Wau wa China, Li Jinzao, wa Makabidhiano ya gari la matangazo la Shirika la Utangazaji la TBC, yaliyofanyika mapema mwaka huu. Shughuli hiyo ya kutiliana saini imefanyika leo Juni 23, 2014, Ikulu jijini Dar es Salaam, ikishuhudiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao Naibu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais, Dkt. Bilal amkaribisha Makamu wa Rais wa China na Ujumbe wake Ikulu Dar leo, wasaini mikataba

1

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo juni 23, 2014 akiongozana na Ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo.  Li Yuanchao, yupo nchini kwa ziara ya siku sita. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Uturuki

01

Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Uturuki, Ahmet Dovutoglu, aliyeongozana na ujumbe wake wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo, Mei 30, 2014.  Katika mazungumzo yao walisisitiza juu ya ushirikiano katika Nyanja mbalimbali baina nchi hizi mbili .  Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya Kiserikali iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL, AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KAMPUNI YA HENGYANG TRANSFORMER LIMITED LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe wa Kampuni ya Hengyang Transformer Limited kutoka TBEA ulioongozwa na Rais wa Kampuni hiyo Bw. Sun Hecheng, wakati ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Octoba 09,2015. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Bw. Sun Hecheng  Rais wa Kampuni ya Hengyang Transformer Limited kutoka TBEA,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa UBA Tanzania Generali Robert Mboma na ujumbe wake, Ikulu Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Oktoba 22, 2014. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA TBEA YA CHINA, IKULU DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Ofisini kwake, Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya TBEA, Zhong Yanmin, wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 30, 2015 kwa mazungumzo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya TBEA, Zhong Yanmin, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 30, 2015 kwa ajili ya mazungumzoMakamu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani