Wafanyakazi wa NBC waadhimisha Siku ya Moyo Duniani kuchangisha fedha kusaidia vijana na watoto wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakianza matembezi ya hisani ya takribani Kilomita 10 jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni moja ya matukio ya benki hiyo kudhimisha Siku ya Moyo Duniani ambapo kiasi cha pesa watakachochangisha kitapelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kusaidia watoto na vijana wanaosumbuliwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo. Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa kimataifa Septemba 29 kila mwaka. Hapa baadhi ya wafanyakazi hao wakipita katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJIMWAGIA MAJI BARIDI KUCHANGISHA FEDHA KUPAMBANA NA UGONJWA WA FISTULA
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
Wafanyakazi 21 wa kampuni ya ACACIA wapanda Mlima Kilimanjaro kuchangisha fedha za kusaidia sekta ya elimu
10 years ago
Dewji Blog25 Mar
Watoto 13,000 nchini huzaliwa na magonjwa ya Moyo
Na Modewji blog team
Imeelezwa kuwa, zaidi ya watoto 13,000 nchini, wanazaliwa na magonjwa ya moyo huku kati yao asilimia 25 pekee, wanahitaji matibabu ya ndani kwa kipindi cha mwaka mmoja mara baada ya kugundulika.
Aidha, mwaka 2013/14 jumla ya watoto 330 walihitaji matibabu, kati yao 128 walifanyiwa upasuaji.
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam, na Makamu wa Rais wa Chama cha Madakatari wa Watoto Tanzania, Dk. Namala Mkopi(pichani), mbele ya waandishi wa habari.
Pia, chama hicho...
11 years ago
Bongo514 Jul
Wanasayansi: Kuvuta harufu ya ‘hewa chafu ya binadamu’ (fart) inaweza kusaidia kuzuia kansa na magonjwa ya moyo
9 years ago
VijimamboMadaktari Bingwa wa Moyo toka India , Wanatarijiwa kupambana na ugonjwa wa Moyo wa kuzaliwa kwa Watoto
Na Mwandishi Wetu ,Kutokea kwa ugonjwa wa moyo wa kuzaliwa (CHD) kunatazamwa kwa usawa kwa duniani kote, pamoja na kutofautiana kati ya mikoa na nchi kutokana na maumbile, mazingira na mabadiliko ya kiepijenetiki. Takriban watoto 8 kati 1000 wanaozaliwa wakiwa hai wanazaliwa na CHD duniani kote. Takwimu hii kwa ujumla inaaminika zaidi. Hata hivyo, kutokana na ukosefu wa takwimu sahihi katika bara la Afrika, watoto walioathirika na CHD barani Afrika inaweza kuwa wengi sana.Watoto ...
9 years ago
MichuziMADAKTARI BINGWA WA MOYO TOKA INDIA, WANATARIJIWA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MOYO WA KUZALIWA KWA WATOTO
Na Mwandishi Wetu ,KUTOKEA kwa ugonjwa wa moyo wa kuzaliwa (CHD) kunatazamwa kwa usawa kwa duniani kote, pamoja na kutofautiana kati ya mikoa na nchi kutokana na maumbile, mazingira na mabadiliko ya kiepijenetiki.
Takriban watoto 8 kati 1000 wanaozaliwa wakiwa hai wanazaliwa na CHD duniani kote. Takwimu hii kwa ujumla inaaminika zaidi. Hata hivyo, kutokana na ukosefu wa takwimu sahihi katika bara la Afrika, watoto walioathirika na CHD barani Afrika inaweza kuwa wengi sana.
Watoto wenye...
5 years ago
MichuziTAHADHARI KUHUSU WAGONJWA WANAOCHANGISHA FEDHA ZA MATIBABU YA MOYO KWA AJILI YA KUTIBIWA KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)
Uongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) unapenda kuutahadharisha Umma kuwa waangalifu na wagonjwa wanaochangisha fedha kwa ajili ya kutibiwa katika Taasisi hii. Ndugu Mwananchi, inawezekana wagonjwa hao wanaochangisha fedha za matibabu wanakuwa tayari wamepata msamaha wa matibabu kutoka kwa Taasisi au wasamaria wema...
5 years ago
MichuziMUHAS WAADHIMISHA SIKU YA MAGONJWA YA WATOTO YA RHEUMATISM
Kila ifikapo Machi 18, dunia huadhimisha siku ya magonjwa ya watoto ya Rheumatism ambayo husababishwa na hitilafu katika mfumo wa Kinga ya mwili ambayo hushambulia sehemu mbalimbali za mwili badala ya kuulinda.
Magonjwa hayo yanaweza kusababisha ulemavu na udhaifu wa mwili.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam Daktari Bingwa wa watoto kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt Francis Furia amesema magonjwa hayo huwa na madhara mengi kwa...
10 years ago
VijimamboWAFANYAKAZI 21 WA KAMPUNI YA KUCHIMBA DHAHABU YA ACACIA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU.
Meneja wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya Acacia,Necta .P.Foya akifunga vizuri mizigo yake...