Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJIMWAGIA MAJI BARIDI KUCHANGISHA FEDHA KUPAMBANA NA UGONJWA WA FISTULA

Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Flora Lupembe (kulia) akimwagiwa maji baridi na Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Rukia Mtingwa katika hafla ya kumwagiana maji baridi iitwayo ‘Ice Bucket Challenge’ yenye makusudi ya kuchangisha fedha kwa ajili kusaidia wanawake wanaosumbuliwa na ugonjwa wa fistula. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam. Kaimu Mhazini Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Ivan Tarimo (kushoto) akimwagiwa maji baridi na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MASTAA WA SOKA WAJIMWAGIA NDOO YA MAJI BARIDI KUPAMBANA NA UGONJWA WA ALS

Cristiano Ronaldo. Mesut Ozil. Mario Balotelli. Mario Gotze.
MASTAA mbalimbali wa soka duniani wameungana na wenzao katika kupambana na ugonjwa wa Amyotrophic Lateral Sclerosis (ALS), maarufu kama Lou Gehrig kupitia kampeni ya ‘Ice Bucket Challenge’…

 

10 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa NBC waadhimisha Siku ya Moyo Duniani kuchangisha fedha kusaidia vijana na watoto wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakianza matembezi ya hisani ya takribani Kilomita 10 jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni moja ya matukio ya benki hiyo kudhimisha Siku ya Moyo Duniani ambapo kiasi cha pesa watakachochangisha kitapelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kusaidia watoto na vijana wanaosumbuliwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo. Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa kimataifa Septemba 29 kila mwaka. Hapa baadhi ya wafanyakazi hao wakipita katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi 21 wa kampuni ya ACACIA wapanda Mlima Kilimanjaro kuchangisha fedha za kusaidia sekta ya elimu

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Acacia,wanafamilia pamoja na marafiki wa kampuni hiyo wakishuka kutoka katika gari tayari kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro. Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya Acacia, Brad Gordon akitelemka kuanza changamoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kama njia ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia sekta ya elimu nchini. Meneja wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya Acacia, Necta .P.Foya akifunga vizuri mizigo...

 

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Benki ya NBC walivyoadhimisha Uhuru Day

Meneja wa Tawi la Corporate la Benki ya NBC, Geoffrey Ndossa (kushoto), na Meneja Masoko wa benki hiyo, Alina Maria Kimaryo wakifanya usafi eneo la ufukwe wa salender jijini Dar es Salaam kuadhimisha Siku ya Uhuru ambapo wafanyakazi wa NBC waliungana na watanzania wengine kuitikia wito wa serikali ya awamu ya tano kusafisha mazingiraBaadhi ya wafanyakazi wa benki ya NBC wakifanya usafi eneo ufukwe wa salander jijini Dar es Salaam kuadhimisha Siku ya Uhuru ambapo wafanyakazi hao waliungana na...

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANYAKAZI 21 WA KAMPUNI YA KUCHIMBA DHAHABU YA ACACIA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU.

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Acacia,wanafamilia pamoja na marafiki wa kampuni hiyo wakishuka kutoka katika gari tayari kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro .Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya Acacia,Brad Gordon akitelemka kuanza changamoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kama njia ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia sekta ya elimu nchini.
Meneja wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya Acacia,Necta .P.Foya akifunga vizuri mizigo yake...

 

11 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA NBC BENKI AWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WANAWAKE WA VODACOM

Ofisa Mkuu wa Idara ya Sheria na Udhibiti, wa Vodacom Tanzania, Akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Mawasiliano wa Vodacom wakati walipofanya kongamano na Mkurugenzi wa Benki ya NBC Mizinga Melu, ikiwa ni sehemu ya kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo. Kongamano hilo lilifanyika katika makao makuu ya kampuni Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akisikiliza swali kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya Mawasiliano ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mtendaji wa NBC ajadili maendeleo ya benki hiyo na wafanyakazi wake

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu katika utaratibu aliojiwekea wa kila mwezi kufanya mazungumzo na wafanyakazi wa idara mbalimbali za benki hiyo ili kuwajulisha maendeleo na mipango ya NBC kama inavyooenekana katika picha hizi tofauti akiwa na wafanyakazi hao jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani