Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA WA SOKA WAJIMWAGIA NDOO YA MAJI BARIDI KUPAMBANA NA UGONJWA WA ALS

Cristiano Ronaldo. Mesut Ozil. Mario Balotelli. Mario Gotze.
MASTAA mbalimbali wa soka duniani wameungana na wenzao katika kupambana na ugonjwa wa Amyotrophic Lateral Sclerosis (ALS), maarufu kama Lou Gehrig kupitia kampeni ya ‘Ice Bucket Challenge’…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJIMWAGIA MAJI BARIDI KUCHANGISHA FEDHA KUPAMBANA NA UGONJWA WA FISTULA

Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Flora Lupembe (kulia) akimwagiwa maji baridi na Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Rukia Mtingwa katika hafla ya kumwagiana maji baridi iitwayo ‘Ice Bucket Challenge’ yenye makusudi ya kuchangisha fedha kwa ajili kusaidia wanawake wanaosumbuliwa na ugonjwa wa fistula. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam. Kaimu Mhazini Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Ivan Tarimo (kushoto) akimwagiwa maji baridi na...

 

9 years ago

Michuzi

DAWASCO YAONGEZA USAMABAZAJI WA MAJI SAFI KUPAMBANA NA UGONJWA WA KIPINDUPINDU DAR

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Bw. Said Meck Sadick akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani ofisini kwake leo alipokutana nao kuelezea utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa kwa DAWASCO kuhusu usambazaji wa maji safi na salama ili kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu. Afisa Mtendaji Mkuu wa  DAWASCO Mhandisi Cyprian Luhemeja akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani Dar es salaam  leo alipokutana nao kuelezea utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na  Serikali kuhusu...

 

11 years ago

Mwananchi

HEKAYA ZA MLEVI: Ujana maji moto, uzee maji baridi

>Ukubwa hauna ngoma ya utambulisho, kadhalika uzee hauna parapanda. Pindi yanapokufika basi utayaona na huna budi kuyakubali. Hayupo awaye yote aliyejaribu na kufanikiwa kukwepa majukumu haya yasiyo ya hiyari. Ukimwona mtu anayakwepa, basi uwe na uhakika kuwa anajaribu kukitoroka kivuli chake bila mafanikio.

 

9 years ago

Michuzi

Chanzo cha maji cha Ruvu Chini kuwatua akina mama ndoo za maji

Meneja Mradi Ruvu chini Mhandisi Emmanuel Makasa (aliyevaa tai) akiongea na waandishi wa habari walipotembelea ujenzi wa bomba la maji kutoka Ruvu Chini kabla ya kusafirishwa kwenda jijini Dar es salaam.Fundi akiendelea na kazi ya kuunganisha na kuchomelea bomba la maji ambalo litasafirisha maji kutoka Ruvu Chini kwenda jijini Dar es salaam.Baadhi ya mitambo ya kusafisha maji ambayo yamesafishwa tayari kwa matumizi ya wananchi wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Habarileo

Wananchi wauziwa ndoo ya maji 1,000/-

WAKAZI wa Kitongoji cha Nsololo wilayani Uyui katika Mkoa wa Tabora, hawana huduma ya maji ya kisima kwa zaidi ya miezi saba sasa, baada ya kisima kilichokuwepo kufungwa na uongozi wa eneo hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Ndoo ya maji Chalinze yafikia Sh 700

UONGOZI wa Mradi wa Maji wa Wami Chalinze wilayani Bagamoyo, umetakiwa kutoa taarifa juu ya ukosefu wa maji, uliodumu takribani mwezi mzima sasa.

 

10 years ago

Habarileo

Ndoo ya maji Kimara yauzwa 1,000/-

WAKAZI wa Kimara jijini Dar es Salaam wanaendelea kununua ndoo ya majisafi kwa Sh 1,000 na maji hayo hayapatikani kwa urahisi.

 

11 years ago

Mwananchi

Habari kadhaa ulaya : ndoo za maji, wagonjwa, wanyama n.k- (2)

>Tuendelee na  baadhi ya habari zilizomeremeta Ulaya juma lililopita.Tuanze na akina mama. Hakimu mstaafu mwanamke , Jane Mary  Mowatt (66) alikosolewa baada ya mahojiano kuhusu ubakaji. Alidai wanawake wanaobakwa baada ya kulewa ( hadi wakajisahau) hujitakia wenyewe.  Wanapofika kizimbani na kujitetea hawakujua kilichotokea sawasawa shauri hawakujitambua “wanajipalia makaa.”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani