Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HEKAYA ZA MLEVI: Ujana maji moto, uzee maji baridi

>Ukubwa hauna ngoma ya utambulisho, kadhalika uzee hauna parapanda. Pindi yanapokufika basi utayaona na huna budi kuyakubali. Hayupo awaye yote aliyejaribu na kufanikiwa kukwepa majukumu haya yasiyo ya hiyari. Ukimwona mtu anayakwepa, basi uwe na uhakika kuwa anajaribu kukitoroka kivuli chake bila mafanikio.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ujana maji ya moto:

Ujana maji ya moto, mimi nimejionea, Tena unachangamoto, leo nazielezea, Unapotoka utoto, ujana ukiingia, Ujana maji ya moto, wengi wameshaungua.

 

10 years ago

GPL

CHUMA CHA MOTO HAKIZIMWI KWA MAJI BARIDI!

Mmh! Yaani kufungua gazeti tu umeanza na mimi, inaonekana ulikuwa ukinisubiri kwa hamu kubwa, nipo nimejaa tele kama pishi la mchele. Kuna baadhi ya makabila husema kwa nini akunyime kitu ambacho amekikuta mwilini mwake. Nami vilevile kwa nini niwanyime uhondo kitu ambacho nimekipata katika raha zangu? Shoga huu ni unyago wa bure, japo si kungwi kihivyo, lakini kaa chini nikufunde ufundike, sipendi kutiwa aibu na mwanamke...

 

10 years ago

GPL

CHUMA CHA MOTO HAKIZIMWI KWA MAJI BARIDI!-2

Nami bila aibu nilimfuata bibi yangu kizaa mama na kumuuliza kitu gani alichomfanyia babu kumfanya asioe wanawake wengi tofauti na wazee wengi wa zamani walikuwa wakishindana kuoa. Bibi hakuwa mchoyo alinieleza nami nilikuja kuifanyia kazi. Siku hiyo nilikutana na mtu wangu kama kawaida yetu mtoto wa kike nilibadilika kwa kuonesha mashamsham kama ndiyo siku ya kwanza kuonana. Tokea tunakula nilimlisha kama mtoto na kumfanya...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio)

Headlines za soka la bongo mtu wangu wa nguvu zimenifikia, safari hii sio kuhusu Simba na Yanga bali ni kuhusu staa wa soka aliyewahi kuvitumikia vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Danny Mrwanda, staa huyo ameingia kwenye headlines baada ya kuingia mkataba wa kuitumikia klabu ya Maji Maji FC ya Songea na kupewa malipo yake […]

The post Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Mwananchi

HEKAYA ZA MLEVI: Uzalendo siyo ugaidi

>Wabantu kuichukulia salamu kuwa ni habari kamili. Kule Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, usishangae kuulizwa kuku na bata “waghonile”?

 

11 years ago

Mwananchi

HEKAYA ZA MLEVI: Nikilewaga na pombe yangu inamwagika

>Ama kweli shibe mwana malevya. Wazungu walikuwa na usemi wa “Too much of anything is harmful.” Chochote kile kinapozidi huzua madhara. Sherehe zikizidi kazi haitafanyika na kazi ikizidi mapumziko yatakosekana.

 

11 years ago

Mwananchi

HEKAYA ZA MLEVI: Ni wajibu kuwajibika pasi na kutukanika

Mtu akikwambia kuwa una akili za kitoto, nenda kamshtaki. Sina uhakika kama kuna kifungu cha sheria kinachohalalisha mashtaka ya aina hiyo, ama nianze maombi ya kulipenyeza hilo ndani ya Bunge Maalumu la Katiba. Lakini mtu mzima kuambiwa ana akili za kitoto si jambo dogo.

 

11 years ago

Mwananchi

HEKAYA ZA MLEVI: Maajabu haya yapo Tanzania tu...

>Mungu aliiumba dunia na vyote vilivyomo ndani ya siku sita tu. Katika vyote vilivyoumbwa, binadamu ndiye aliyekuwa wa mwisho kabisa. Akina ngiri, kuku na sisimizi walitutangulia. Mgomba, muhogo na mwembe tulivikuta vikiwa tayari. Lakini upo msemo wa “wa mwisho atakuwa wa kwanza”. Huyu wa mwisho kuumbwa ndiye akateuliwa kuwa kiongozi wa kila alichokikuta.

 

10 years ago

Mwananchi

HEKAYA ZA MLEVI: Paka shume sina jalala...

>Mtu mzima anapoambiwa kuwa na mambo ya kitoto, anaweza kupasuka. Siyo kama mtoto ni mjinga saaaaaana, hapana. Ila mtoto huwaza kidogo, kufurahi sana na kupumzika zaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani