Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHUMA CHA MOTO HAKIZIMWI KWA MAJI BARIDI!

Mmh! Yaani kufungua gazeti tu umeanza na mimi, inaonekana ulikuwa ukinisubiri kwa hamu kubwa, nipo nimejaa tele kama pishi la mchele. Kuna baadhi ya makabila husema kwa nini akunyime kitu ambacho amekikuta mwilini mwake. Nami vilevile kwa nini niwanyime uhondo kitu ambacho nimekipata katika raha zangu? Shoga huu ni unyago wa bure, japo si kungwi kihivyo, lakini kaa chini nikufunde ufundike, sipendi kutiwa aibu na mwanamke...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHUMA CHA MOTO HAKIZIMWI KWA MAJI BARIDI!-2

Nami bila aibu nilimfuata bibi yangu kizaa mama na kumuuliza kitu gani alichomfanyia babu kumfanya asioe wanawake wengi tofauti na wazee wengi wa zamani walikuwa wakishindana kuoa. Bibi hakuwa mchoyo alinieleza nami nilikuja kuifanyia kazi. Siku hiyo nilikutana na mtu wangu kama kawaida yetu mtoto wa kike nilibadilika kwa kuonesha mashamsham kama ndiyo siku ya kwanza kuonana. Tokea tunakula nilimlisha kama mtoto na kumfanya...

 

11 years ago

Mwananchi

HEKAYA ZA MLEVI: Ujana maji moto, uzee maji baridi

>Ukubwa hauna ngoma ya utambulisho, kadhalika uzee hauna parapanda. Pindi yanapokufika basi utayaona na huna budi kuyakubali. Hayupo awaye yote aliyejaribu na kufanikiwa kukwepa majukumu haya yasiyo ya hiyari. Ukimwona mtu anayakwepa, basi uwe na uhakika kuwa anajaribu kukitoroka kivuli chake bila mafanikio.

 

10 years ago

GPL

MASTAA WA SOKA WAJIMWAGIA NDOO YA MAJI BARIDI KUPAMBANA NA UGONJWA WA ALS

Cristiano Ronaldo. Mesut Ozil. Mario Balotelli. Mario Gotze.
MASTAA mbalimbali wa soka duniani wameungana na wenzao katika kupambana na ugonjwa wa Amyotrophic Lateral Sclerosis (ALS), maarufu kama Lou Gehrig kupitia kampeni ya ‘Ice Bucket Challenge’…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanamke mbaroni kwa kujeruhi kwa maji ya moto

JESHI la Polisi mkoani Singida linamshikilia mkazi wa Misuna, katika Manispaa ya Singida, Mary Muna (31) kwa tuhuma ya kumuunguza kwa maji ya moto mwilini mwanamke mwenzake kutokana na wivu...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJIMWAGIA MAJI BARIDI KUCHANGISHA FEDHA KUPAMBANA NA UGONJWA WA FISTULA

Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Flora Lupembe (kulia) akimwagiwa maji baridi na Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Rukia Mtingwa katika hafla ya kumwagiana maji baridi iitwayo ‘Ice Bucket Challenge’ yenye makusudi ya kuchangisha fedha kwa ajili kusaidia wanawake wanaosumbuliwa na ugonjwa wa fistula. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam. Kaimu Mhazini Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Ivan Tarimo (kushoto) akimwagiwa maji baridi na...

 

9 years ago

Mwananchi

Mama amchoma mwanaye kwa maji moto

Polisi mkoa wa Mara inamshikilia mwananke mmoja (jina tunalo) mkazi wa Bweri Manispaa ya Musoma kwa kosa la kumchoma mtoto wake mwenye miaka minne, kwa maji ya moto, mikono yote miwili baada ya kumtuhumu kuwa ameiba nyama jikoni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani