Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUAHILISHWA KWA UWEKAJI JIWE LA MSINGI WA KIWANDA CHA CHUMA LIGANGA:NDC

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KITUO CHA POLISI MBWENI,ZANZIBAR

Naibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati wa Zanzibar,Haji Mwadini Makame akifungua kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Vijana wadogo kutoka katika kituo cha Nyerere Shaolin Group wakionyesha umahiri wa kuweza kupambana na uhalifu katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka...

 

11 years ago

Michuzi

sherehe za kipaimara na uwekaji jiwe la msingi kwa kanisa jipya parokia ya babati


 Miongoni mwa vijana 116 waliopatiwa Kipaimara na Askofu wa Jimbo la Mbulu Mkoani Manyara, Beatus Kinyaiya, kwenye  kanisa la Parokia ya Roho Mtakatifu mjini Babati juzi, hapa wakipita mbele ya wageni na waumini mbalimbali wa eneo hilo.
Askofu wa Jimbo la Mbulu Mkoani Manyara, Beatus Kinyaiya akiweka jiwe la msingi juzi kwenye ujenzi wa kanisa jipya la Parokia ya Roho Mtakatifu mjini Babati, linalotarajia kugharimu sh915 milioni.

 

9 years ago

Michuzi

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI JENGO LA ABIRIA TERMINAL II ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Serikali wakati alipowasili katika uwekaji wa jiwe la Msingi ujenzi wa jengo jipya la Abiria Terminal II katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo,ujenzi  wa jengo hilo unajengwa na Kampuni kutoka China Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa Jiwe la msingi ujenzi wa jengo...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli akagua maandalizi ya sherehe za uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Ofisi za Ikulu Chamwino


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Mei, 2020 amekagua maandalizi ya sherehe za uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma zitakazofanyika kesho tarehe 30 Mei, 2020.
Jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi hizo litawekwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe...

 

9 years ago

Michuzi

Pinda aweka jiwe la msingi jiwe la Msingi la Jengo la makazi na Biashara la NHC Place eneo la Victoria jijini Dar es slaam

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) wakati alipowasili kwenye eneo la ujenzi wa jengo la makazi na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC katika  eneo la Victoria jijini Dar es salaam  kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo Oktoba 20,2015.Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba  (NHC),...

 

5 years ago

Michuzi

MAAFISA WASHIRIKI KUTOKA CHUO CHA ULINZI WA TAIFA(NDC) WATEMBELEA KIWANDA CHA GEREZA KUU UKONGA JIJINI DSM


Maafisa Washiriki kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa wakizungumza na mfungwa ambaye amepatiwa ujuzi gerezani wa fani ya ushonaji katika Kiwanda cha Ushonaji cha Gereza Kuu Ukonga kama inavyoonekana katika picha. Maafisa Washiriki kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa wakitoka  katika Kiwanda cha Gereza Kuu Ukonga kuendelea na ziara yao ya mfunzo katika maeneo mbalimbali...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA ATEMBELEA MACHIMBO YA CHUMA LIGANGA NA MAKAA YA MAWE MCHUCHUMA

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kiogoda (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tanzania China International Mineral Resources Ltd, Erick Mwingira juu ya miradi hiyo ya makaa ya mawe, alipotembelea miradi ya Chuma cha Liganga na Makaa ya mawe ya Mchuchuma. Kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Mligi Mkucha.  Picha ya pamoja ya Mh. Waziri wa Viwanda na Biashara pamoja na watafiti na Viongozi wa serikali.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA VIWANDA ATEMBELEA MACHIMKBO YA CHUMA LIGANGA NA MAKAA YA MAWE MCHUCHUMA

Waziri wa Viwanda na Biashara akutana na wafanyabiashara wa Mkoani Njombe na kuzungumza nao fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa huo mara baada ya kupokewa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dkt. Rehema Nchimbi.
 wafanyabiashara wa Mkoani NjombeMlima wa Liganga uliopo mkoani njombe wilaya ya Ludewa ambapo kampuni ya Tanzania China International Mineral Resources Ltd.
 Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kiogoda (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tanzania China...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani